Credits

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Mathias Walichupa
Mathias Walichupa
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Mathias Walichupa
Mathias Walichupa
Songwriter:in

Lyrics

Aaa aaa
Umetenda
Mengi makuu
Ninashukuru
Ninashukuru
BWANA
Nikieleza
Siwezi maliza
Ninashukuru
Ninashukuru
BWANA
Watu maneno waliyonisema
Yalinipima mizani
Lakini YESU umeniweka Huru
Umenifanyia amani
Watu maneno waliyonisema
Yalinipima mizani
Lakini YESU umeniweka Huru
Umenifanyia amani
Asantee ninashukuru
Ninashukuru BWANA
Asantee ninashukuru
Ninashukuru BWANA
Ninashukuru (Aaaah)
Nashukuru (Aaaah)
Aaaah (Aaah)
Asante (Asante)
Mimi Ninashukuru (Aaah)
Shukuru (Aaaah)
BWANA (aaah)
Asante (asante)
Asante BWANA asante
Kwangu mimi Shujaa wa vita
Ni mwangaza wakati wa giza
Kwangu mimi ishujaa wa vita
Ni mwangaza wakati wa giza
Sirahisi kuuchukua
Upendo wangu kwake
Maana ninaishi ninapumua
Kwasababu yake
Sirahisi kuuchukua
Upendo wangu kwake
Maana ninaishi ninapumua
Kwasababu yake
Asantee ninashukuru
Ninashukuru BWANA
Asantee ninashukuru
Ninashukuru BWANA
Ninashukuru (Aaah)
Asante (Aaah)
Ninashukuru (Aaah)
Umetenda mema (Asante)
Asante (Aah)
Nashukuru BWANA (Aaah)
Nashukuru (aah)
Asantee (Asante)
Ooh ninashukuru (Aah)
Ninashukuru (Aaah)
BWANA wangu (Aah)
Asante BWANA (aaah)
Asante BWANA (Aaah)
Asantee (Asante)
Ooh Ninashukuru
BWANA aaah
Ninashukuru
Asante BWANA
Asante
Written by: Mathias Walichupa
instagramSharePathic_arrow_out