Top Songs By BELLA KOMBO
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
BELLA KOMBO
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
BELLA KOMBO
Songwriter:in
Lyrics
[Intro]
Mbona kama naota
Mbona kama naota
Mbona kama naota
Mbona kama naota
[Verse 1]
(Jamani yale amenitendea) Mbona kama naota
(Na siamini ni mimi oh) Mbona kama naota
(Na siamini ni mimi oh) Mbona kama naota
(Yale ametenda) Mbona kama naota
(Aii yale ametenda) Mbona kama naota
[Chorus]
(Aah eeh, aah eh, aah eh) Aah eeh, aah eh, aah eh
(Aah eeh, aah eh amenikumbuka Yesu) Aah eeh, aah eh, aah eh
(Aii na mimi eh, na mimi, nami kanifuta machozi) Aah eeh, aah eh, aah eh
[Chorus]
(Eh siamini, ai siamini mwenzenu) Aah eeh, aah eh, aah eh
(Aah eeh, aah eh, aah eh) Aah eeh, aah eh, aah eh
[Chorus]
(Ni baraka yo) Ni baraka, baraka, baraka, baraka
(Kujaza kumwagika) Baraka, baraka, baraka, baraka
(Jamani mibaraka yoyo) Baraka, baraka, baraka, baraka
(Amenipa baraka Yesu) Baraka, baraka, baraka, baraka
[Chorus]
(Jamani amani) Amani, amani, amani, amani
(Amenipa amani Yesu) Amani, amani, amani, amani
(Aii amenifuta machozi Yesu) Amani, amani, amani, amani
(Amenkumbuka) Amani, amani, amani, amani
[Chorus]
(Jamami kicheko) Kicheko, kicheko, kicheko, kicheko
(Aii kicheko yo) Kicheko, kicheko, kicheko, kicheko
(Amenipa kicheko Yesu) Kicheko, kicheko, kicheko, kicheko
(Aii nearing, nearing, nearing) Kicheko, kicheko, kicheko, kicheko
[Chorus]
(Jamani furaha yoyo) Furaha, furaha, furaha, furaha
(Hebu sema furaha ya Yesu) Furaha, furaha, furaha, furaha
(Yesu furaha yoyo) Furaha, furaha, furaha, furaha
(Aii iih) Furaha, furaha, furaha, furaha
[Chorus]
Mbona kama naota
Mbona kama naota
Mbona kama naota
Mbona kama naota
[Chorus]
(Ni baraka) Ni baraka, baraka, baraka, baraka
(Eh ni baraka tele) Baraka, baraka, baraka, baraka
(Eh ni baraka tele) Baraka, baraka, baraka, baraka
(Eh ni ba, ni ba, ni ba, ni ba, ni ba, ni ba tele) Baraka, baraka, baraka, baraka
[Outro]
Mbona kama naota
Na siamini kama neona yoyo
Written by: BELLA KOMBO