Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Allanè
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Allanè
Komponist:in
Joel Azaria Lwaga
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Emmanuel Gripa
Produzent:in
Lyrics
(Umbe Umbe)
(Umbe Umbe)
DG
Hapa nilipo bana
Sijajiweka maana
Nishatry sana, Haijawezena
Ni Rehema za Rabana
Si jitihada wala
Sijisifu maana
Nimependelewa sana
Hapa nilipo bana
Sijajiweka maana
Nishatry sana, Haijawezena
Ni Rehema za Rabana
Si jitihada wala
Sijisifu maana
Nimependelewa sana
Siwezi jiona eti ni bora
Siwezi jiona nafaa sana
Kwamba jitihada na kujituma
Vimeniweka hapa
Kwani wangapi wanapambana
Tena bila kuchoka wanajituma
Lakini haijawa kama vile imekuwa kwangu
Najua kuna wale mnaoniaminia na kunisifu
Kwa majina ya sifa mbalimbali
Wengine mwaniona kama mimi ni shujaa
Ila kuna Mungu mimi ni matokeo ya kudra tu
Hapa nilipo bana
Sijajiweka maana
Nishatry sana, Haijawezena
Ni Rehema za Rabana
Si jitihada wala
Sijisifu maana
Nimependelewa sana
Hapa nilipo bana
Sijajiweka maana
Nishatry sana, Haijawezena
Ni Rehema za Rabana
Si jitihada wala
Sijisifu maana
Nimependelewa sana
Kila nikitamani nighafilike nijiinue
Nakumbuka siwezi hata kuongeza urefu wa vidole
Hivi nilivyonavyo bila ya pumzi ya Mungu ni bure
Sasa naanza wapi kujiona bora zaidi ya wengine?
Najua kuna wale mnaoniaminia na kunisifu
Kwa majina ya sifa mbalimbali
Wengine mwaniona kama mimi ni shujaa
Ila kuna Mungu mimi ni matokeo ya kudra tu
Hapa nilipo bana
Sijajiweka maana
Nishatry sana, Haijawezena
Ni Rehema za Rabana
Si jitihada wala
Sijisifu maana
Nimependelewa sana
Hapa nilipo bana
Sijajiweka maana
Nishatry sana, Haijawezena
Ni Rehema za Rabana
Si jitihada wala
Sijisifu maana
Nimependelewa sana
Written by: Allanè, Joel Azaria Lwaga