Top Songs By Rehema Simfukwe
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Rehema Simfukwe
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Rehema Simfukwe
Songwriter:in
Lyrics
Heee, let me see you dance, come on
Heee, heee
Come on, heee
Ameamua, nani apinge?
Baba amesema ndio, nani akatae?
Ameamua, nani apinge?
Baba amesema ndio, nani akatae? (every body say)
Ameamua, nani apinge?
(Baba amesema ndio) baba amesema ndio, nani akatae?
(Ameamua) ameamua, nani apinge?

(Let me see you dance)
Amedhibitisha mimi ni mtoto wake, sina mashaka na yeye
Kifo chake msalabani, kilimaliza yote

Alilosema atalifanya
Tumemwamini kwa mambo mengi
Baba amesema ndio, nani akatae?
(Ameamua) ameamua, nani apinge?
(Baba amesema ndio) baba amesema ndio, nani akatae?
(Ameamua) ameamua, nani apinge?
(Baba amesema ndio) baba amesema ndio, nani akatae?
(Ndio yake) ndio yake, ni ndio
Akishasema amesema
(Baba amesema ndio) baba amesema ndio, nani akatae?
(Ndio yake) ndio yake, ni ndio
Yesu ameamua, akishasema amesema

Let me see you dance come on, one
Let me see you dance come on
One, two, three, go
Let me here you shout
(Ndio yake) ndio yake, ni ndio, (Yesu ameamu) akishasema amesema
(Baba amesema ndio) baba amesema ndio, nani akatae?
(Ndio yake) ndio yake, ni ndio, (Yesu ameamua) akishasema amesema

(Baba amesema ndio) baba amesema ndio, nani akatae? (one more time)
(Ndio yake) ndio yake, ni ndio, (Yesu ameamu) akishasema amesema
(Baba amesema ndio) baba amesema ndio, nani akatae?
Let me here you shout
Baba amesema ndio, nani akatae? Nani akatae, nani akatae?
Yesu akisema ndio, yesu akikubali
Yesu akisema inawezekana, Yesu akisema hapa utapita, nani akatae?
Nani akatae? Haleluyah
We glorify your name oh God
One, two, three, come on
Some body shout
Written by: Rehema Simfukwe