Lyrics

[Verse 1]
Nyakati za giza nene
Stress kichwani akawa defender
Kanijaza nguvu barabara
Na moyo kajachanua
[Verse 2]
Ndipo kanieleza tabu zote za zamani
Lengo lake ni kunikamilisha
[Verse 3]
Napokuwa mfalme humtumia Bwana
Kwa fadhili zake aliyejuu sitaogopa
Akanieleza magumu niliyopitia
Hilo lengo lake ni kunikamilisha
[Chorus]
Ni jemedari, Mwana wa Mungu
Mfalme mkuu kanielekeza
Shida zote nilizopitia
Hilo lengo lake ni kunikamiisha
[Chorus]
Aah kunikimili
Aah kunikamilisha
Aah kunikimili
Aah kunikamilisha
[Verse 4]
Natazama iliandikwa Iije pata timia
Na yapo mengi yaliandikwa juu yangu yatakujatimia
Kuna tetesi zasema mbuyu ulianza kama mchicha
Je, wajua namba tatu haezi kuwa tatu bila kuanza na moja
[Verse 5]
Safari ya maisha yangu Bwana, najua kuna place umeniandalia
Napaswa kuwa mstaarabu mwenye hekima hakika nitafika
Tena Mungu wa milimani ndiye pia ya bondeni
Ahadi zako ni kweli Bwana usemapo unatimiza
[Verse 6]
Nimejuwa taabu, taabu zote za zamani
Lengo lake si kuniuwa bali kunikamilisha
Taabu zote za zamani
Haziniui zanikamilisha
[Chorus]
Aah kunikimili
Aah kunikamilisha
Aah kunikimili
Aah kunikamilisha
[Chorus]
Aah kunikimili
Aah kunikamilisha
Aah kunikimili
Aah kunikamilisha
[Chorus]
Aah kunikimili
Aah kunikamilisha
Aah kunikimili
Aah kunikamilisha
Written by: Godfrey Steven
instagramSharePathic_arrow_out