Featured In

Credits

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Angel Benard
Angel Benard
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Angel Benard
Angel Benard
Songwriter:in

Lyrics

[Verse 1]
Nirahisi kinywa kujawa na lawama tele
Pale mambo yanapoonekana hayaendii
Ni ajabu sana namna moyo unahangaika (Kutafuta majibu)
Ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka
[Verse 2]
Ya kwamba japokuwa Mungu anaishi ndani yangu (Kuna muda nahofu)
Japokua Mungu anaketi kati yetu (Kuna muda nahofu)
Ahh nakumbuka wana wa Israel katika bahari yashamu
Japo walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi
[Verse 3]
Kwa nyimbo nyingi waliimba na kumsifu Bwanaa.
Lakini baada ya kuvuka na kuliona jagwa (Yalibadilika mambo)
Manung'unikoo yalisimama
Na kusahau muujiza alotenda Bwana mwanzo ooh
[Bridge]
Aah
Mungu niisaidiee ee eenhee
Ooh
[Chorus]
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii

Eeh ee Mungu nisaidiee
[Refrain]
Nisaidiee
Kukumbuka baba yakwamba umenichora
Kiganjani mwako
[Verse 4]
Kati ya wengi walioko duniani eeh
Na mimi umenionaa ooh ooo
[Verse 5]
Nikumbushe Baba yakwamba ni wewe
Umeniponya nilipoumwa
Yakwamba ni wewe
Mlipaji wa ada yangu shulenii
[Verse 6]
Yakwamba kama ungeniacha hatua moja
Nisingelifika nilipo ooh ee Babaa
Umenikung'uta mavumbi, kung'uta mavumbi mimi
Na kuniheshimisha
[Chorus]
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
[Chorus]
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
[Chorus]
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
[Chorus]
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
Written by: Angel Benard
instagramSharePathic_arrow_out