Top Songs By Erick Smith
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Erick Smith
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Marume Bayizere
Songwriter:in
Lyrics
Mi nashangaa, Nikielewa
Wewe ni zaidi, ya vile nilivyoambiwa
juu yako
Tena sauti yako baba yanizidia,
Sauti zote, ninazosikia
Mi nashangaa, Nikielewa
Wewe ni zaidi, ya vile nilivyoambiwa
juu yako
Tena sauti yako baba yanizidia,
Sauti zote, ninazosikia
Yale umetenda baba (Tenda) Yote Ni
makuu
Maana wayatenda (ammhh) kwa upendo
Yale unasema baba (Tenda) Yote ni
kweli
Maana pia wayasema (ammhh) kwa
upendo
Yale umetenda baba (Tenda) Yote Ni
makuu
Maana wayatenda (ammhh) kwa upendo
Yale unasema baba (Tenda) Yote ni
kweli
Maana pia wayasema (ammhh) kwa
upendo
Nimejipata, ndani ya upendo wako,
Umekua kwangu mapumziko
Neema yako yanitosha,
Nikiwa nawe mimi niko huru.
Nimejipata, ndani ya upendo wako,
Umekua kwangu mapumziko
Neema yako yanitosha,
Nikiwa nawe mimi niko huru.
Yale umetenda baba Yote Ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema baba Yote ni kweli
Maana pia wayasema, kwa upendo
Yale umetenda baba Yote Ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema baba Yote ni kweli
Maana pia wayasema kwa upendo
Wewe ni Mungu mkuu,
Mfalme wa wafalme,
Muumba wa mbingu na nchi,
Heshima zote ni zako bwana,
Hakuna kama wewe
Yale umetenda baba Yote Ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema baba Yote ni kweli
Maana pia wayasema, kwa upendo
Yale umetenda baba Yote Ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema baba Yote ni kweli
Maana pia wayasema, kwa upendo
Lyrics powered by www.musixmatch.com