Lyrics

Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame Huwachi ninyauke, oh nakupenda Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame Huwachi ninyauke, oh nakupenda Nakupenda, nakupenda Mnyunyizi wangu, oh nakupenda Nakupenda, nakupenda Mnyunyizi wangu, oh nakupenda Kama mti kando ya mto, hivyo ndivyo nilivyo Mnyunyizi wangu, oh nakupenda Kama mti kando ya mto, hivyo ndivyo nilivyo Mnyunyizi wangu, oh nakupenda (Nakupenda) Nakupenda (nakupenda), nakupenda (wewe mnyunyizi wangu baba) Mnyunyizi wangu, oh nakupenda (Kweli kabisa nakupenda) Nakupenda, nakupenda Mnyunyizi wangu, oh nakupenda (Ndio nakupenda) Nakupenda Jehova, sina mwingine ila wewe tu, wewe mnyunyizi wangu Unaninyunyizia maji wakati wa ukame, huachi ninyauke Uneninawirisha Jehova, Jina lako nalitukuza Nakupenda kwa roho yangu yote, nitakutumikia maishani mwangu Jehova Nakuabudu, nakuimbia wimbo maana wewe ni Mungu wangu Nakupenda, nakupenda Mnyunyizi wangu, oh nakupenda Nakupenda, nakupenda Mnyunyizi wangu, oh nakupenda (Nakiri kwamba nakupenda) Nakupenda, nakupenda Mnyunyizi wangu, oh nakupenda
Writer(s): Sarah Kiarie Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out