Lyrics

[Chorus]
Kimbilio langu, ni wewe pekee yako
Hili ni ombi langu, mchana na usiku
Naja mbele zako, Yesu nikumbuke
Nipe furaha moyoni, niseme umetenda
[Verse 1]
Naja mbele zako Baba, nikumbuke hivi nilivyo
Fanya jambo, ndani yangu, lisilowezekana
[Chorus]
Kimbilio langu, ni wewe pekee yako.
Hili ni ombi langu, mchana na usiku
Naja mbele zako, Yesu nikumbuke
Nipe furaha moyoni, niseme umetenda
[Verse 2]
Kikombe hiki, kizito ooh, kinaumiza
Hata kama Baba, ni kesho ooh wewe haudanganyi
[Verse 3]
Nimepitia, mengi sanaa, yamekua mazito mno
Lakini leo naja kwako ooh, uyaondoe haya yote
Roho yangu imechokaa, haiwezi kuendeleaa
Nachoomba kutoka kwako ooh, uyafute machozi yangu
[Chorus]
Kimbilio langu, ni wewe pekee yako
Hili ni ombi langu, mchana na usiku
Naja mbele zako, Yesu nikumbuke
Nipe furaha moyoni, niseme umetenda
[Outro]
Niseme umetenda
Niseme umetenda
Niseme umetenda
Written by: Abeddy Ngosso
instagramSharePathic_arrow_out