Top Songs By Angel Benard
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Angel Benard
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Angel Benard
Songwriter:in
Lyrics
Nifundise kunyamaza nisije jibu
nikakukosea bwana mana ninaweza
nikajiibu kumbe nikakukosea tena wewe bwana
unifundiahe kunyamaza eeh bwana
unipe moyo wa uvumilivu nizidi kunyamaza
eeh bwana naomba usikie kuomba kwangu
Lyrics powered by www.musixmatch.com