Lyrics

[Verse 1]
Iwe kwa gongo ama kwa panga shoka
Penzi nimelitupa mbali
Hani mwolongo moyo umepachuka
Imenisurubu dhohari
[Verse 2]
Te, te, te, mi najongea
Kwenye ulingo wa mapenzi nakimbia
Zote kwa zote najiengua
Chapter ya mapenzi nimefunga
[Verse 3]
Oh maido, oh maido
Ulinipa amani penzi kisado
Nikawa na imani mengi madoido
Nikijua mi napendwa, nikavimba kichwa
[Verse 4]
Ah-ah, maido
Nayaweka kando ma kando-kando
Imenichosha mingi misondo
Hii safari nimemaliza mwendo
[PreChorus]
Ah-ah-ah, taratibu
Gonjwa langu lishapata tabibu
Nime dabwalika sipati taabu
Oh-oh, taabu
Maajabu, nimezoea wala sina gadhabu
Ka moyo twika kana feel hii vibe
[Chorus]
I don't know, I don't know ila, I'm so lonely
I'm so lonely
I don't known, ila na enjoy kuwa lonely
I'm so lonely
Ah I don't know, ila na enjoy kuwa lonely
[Verse 5]
Oh, bartender give me one shoti
Ninywe kamnyweso hadi nishike magoti
Nipo free to be single, so sweet
Niko free to be single, so sweety
[Verse 6]
Ah-ah, mashallah
Yalishapona majeraha
Roho kwatu imejaa furaha
Kufa kwaja nakula raha
[PreChorus]
Ah-ah-ah, taratibu
Gonjwa langu lishapata tabibu
Nime dabwalika sipati taabu
Oh-oh, taabu
Maajabu, nimezoea wala sina gadhabu
Ka moyo twika kana feel hii vibe
[Chorus]
I don't know, I don't know ila, I'm so lonely
I'm so lonely
I don't know, ila na enjoy kuwa lonely
I'm so lonely
I don't know, ila na enjoy kuwa lonely
[Outro]
Ah-ah, mashallah
Yalishapona majeraha
Roho kwatu imejaa furaha
Kufa kwaja naponda raha aah
I'm so lonely
I don't know, ila na enjoy kuwa lonely
Written by:
instagramSharePathic_arrow_out