Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
D Voice
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
D Voice
Komponist:in
Abduli Hamisi Mtambo
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Lizer Classic
Produzent:in
Lyrics
Ulo mpata anaupiga mwingi sio siri umenawiri
Rangi mashallah kampe hongera zake
Bato siwezi amenzidi vingi mwenzangu tajiri
Mi kapuku mlala njaa (ah-ah), sijafika level zake
Mi hali yangu pangu pakavu riziki yangu ndondondo
Nilicho jaliwa malavudavu ila kipato ndo mchongo
Mwenzangu kanizidi ubavu mi kijiti ye nondo
Ningewazeje kutoa madafu wakati mi mpera si uongo
Lakini nimemisi, nimemisi kukuona kwangu
Yalaiti nami Mungu angenipa fungu langu
Labda usinge chiti kama muhuni ningekuwa na vyangu
Ila atabariki nami Mungu atajibu maombi yangu
Ila umenifunza (umasikini mbaya)
Umenifunza (umasikini mbaya)
Umenifunza (umasikini mbaya)
Umenifunza (umasikini mbaya)
Na huyo ulompata usimuache maana anakupa nilivyovikosa mimi
Mungu awabariki fungate muwe wahalali awaepushie kuzini
Wala mwambie asikuchape, aku mbona siku kuchapa mimi
Na wewe ujeuri uache mpe sifa mama uchunge yako ndimi
Siwezi sema nimesusa ntakuwa muongo
Kama ikitokea fursa mi bado niko single
Hamu mwenzako kimejaa kichupa pakumwagia songombingo
Nisamehe ka mstari na uvuka maji yamenifika kwa shingo
Maana nimemisi, nimemisi kukuona kwangu
Yalaiti nami Mungu angenipa fungu langu
Labda usinge chiti kama muhuni ningekuwa na vyangu
Ila atabariki nami Mungu atajibu maombi yangu
Ila umenifunza (umasikini mbaya)
Umenifunza (umasikini mbaya)
Umenifunza (umasikini mbaya)
Umenifunza (umasikini mbaya)
Written by: Abduli Hamisi Mtambo, D Voice