Top Songs By Beda Andrew
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Beda Andrew
Leadgesang
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Beda Andrew
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Benson Abel
Produzent:in
Lyrics
Kutoka mbinguni kuja duniani
Kwa ajili yangu mimi (Ni upendo wa Pekee)
Kuiacha enzi ukaja duniani
Kunikomboa mimi (Ni upendo wa pekee)
Kutoka mbinguni kuja duniani
Kwa ajili yangu mimi (Ni upendo wa Pekee)
Kuiacha enzi ukuja duniani
Kunikomboa mimi (Ni upendo wa pekee)
Hukutazama makosa niliyofanya
Ukayafuta yote hukuacha hata alama
Tena ikakugharimu unilipie gharama ya uhai wako we
(Hukutazama makosa niliyofanya)
Ukayafuta yote hukuacha hata alama
Tena ikakugharimu unilipie gharama ya uhai wako we
Kwa ajili yako we (kwa ajili yako wewe)
Niko huru leo (niko huru leo)
Kwa ajili yako we (kwa ajili yako wewe)
Nina msamaha (nina msamaha)
Siko tena chini ya laana (kwa ajili yako we)
Kwa ajili yako we (kwa ajili yako wewe)
Kwa ajili yako we (kwa ajili yako wewe)
Ndio maana leo nasema
Daima milele
Nitakupenda wewe
Daima milele milele nawe
Daima milele
Nitakupenda wewe
Daima milele milele nawe (Every body say)
Daima milele
Nitakupenda wewe
Daima milele milele nawe
Daima milele
Daima milele (Nitakupenda wewe)
Nitakupenda wewe (Daima milele)
Daima milele milele nawe
Every body say
Sitaki mwingine(Staki mwingine)
Sitaki mwingine(Staki mwingine)
Sitaki mwingine(Staki mwingine)
Ila wewe (tu)
Ila wewe (tu)
Staki mwingine(Staki mwingine)
Staki mwingine(Staki mwingine)
Staki mwingine(Staki mwingine)
Ila wewe (tu)
Ila wewe (tu)
Hey (yeaah)
Daima milele nitakupenda wewe (Daima milele)
Daima milele milele nawe (Daima milele heey)
(Daima milele) Yesu wewe (Nitakupenda wewe)
Daima milele
Daima milele milele nawe
Sitaki mwingine(Staki mwingine)
Sitaki mwingine(Staki mwingine)
Sitaki mwingine(Staki mwingine)
Ila wewe (tu)
Ila wewe (tu)
Sitaki mwingine(Staki mwingine)
Sitaki mwingine(Staki mwingine)
Sitaki mwingine(Staki mwingine)
Ila wewe (tu)
Ila wewe (tu)
Written by: Beda Andrew