Top Songs By Alice Kimanzi
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Alice Kimanzi
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Alice Kimanzi
Songwriter:in
Gideon Maingi Kimanzi
Songwriter:in
Paul Clement Mwakanyamale
Songwriter:in
Lyrics
Giza totoro lanizingira
Miale hijanifikia
Ilhali kumekucha
Pambazuka
Imani yashuka yadidimia
Amani nayo yafifia
Eloi lamasabachtani
Yuko Mungu anayeweza
Yuko Mungu anayetenda
Mwamini yeye
Mwamini yeye
Huto aibika
Giza likiwa ni zito Bwana atawasha
Atawasha taa aah
Sababu yeye ni Mungu mwenye amandla
Atarejesha amani
Atarejesha amani
Atarejesha furaha
Atarejesha furaha
Ulivyo vipoteza kwa muda murefu
Atarejesha mara
Yuko Mungu anayeweza
Yuko Mungu anayetenda
Mwamini yeye
Mwamini yeye
Huto aibika
Yuko Mungu anayeweza
Yuko Mungu anayetenda
Mwamini yeye
Mwamini yeye
Huto aibika
Pale ninaposhindwa nani wa kuniwezesha
Mungu pekee, ndiye awezaye
Na nikiwa vitani nani wakunishindia
Mungu pekee, ndiye awezaye
Napokuwa mdhaifu nani wa kunipa nguvu
Mungu pekee, ndiye awezaye
Ninapotia shaka nani wa kuniongoza
Mungu pekee
Yuko Mungu
Mungu yuko
Yuko Mungu anayeweza
Yuko Mungu anayetenda
Mwamini yeye
Mwamini yeye
Huto aibika
Yuko Mungu anayeweza
Yuko Mungu anayetenda
Mwamini yeye
Mwamini yeye
Huto aibika
Written by: Alice Kimanzi, Gideon Maingi Kimanzi, Paul Clement Mwakanyamale