Music Video

Featured In

Credits

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Kambua Mathu
Kambua Mathu
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Kambua Mathu
Kambua Mathu
Songwriter:in

Lyrics

[Verse 1]
Toka mwanzo nilijua, Mungu atafanya
Sababu najua, hashindwi
Ila nilidhani, Mungu atafanya
Sawasawa na mawazo yangu
Kumbe ninavyowaza ni tofauti
Na Mungu anavyoniwazia
Leo amenishangaza Bwana
Amefanya zaidi ya niliyo waza
[Chorus]
Baraka, kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko
Watoto, kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko
Afya, kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko
Ametenda zaidi ya akili yangu
Bwana amenipa kicheko
Ametenda zaidi ya mawazo yangu
Bwana amenipa kicheko
[Chorus]
Baraka, kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko
Watoto, kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko
Afya, kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko
[Verse 2]
Anasema anajua ninayohitaji
Hata kabla sijaomba
Kuna vitu ninadhani sihitaji
Ila yeye anajua ninahitaji
Nikimwomba mkate, ananipa na maji
Anajua nitapata kiu tu
Nisiyo yajua, ye anayajua
Hata kama ni mambo madogo tu
[PreChorus]
Mahitaji yangu leo, mahitaji yangu kesho
Leo amenishangaza Bwana
Amefanya zaidi ya niliyo waza
[Chorus]
Ametenda zaidi ya akili yangu
Bwana amenipa kicheko
Ametenda zaidi ya mawazo yangu
Bwana amenipa kicheko
Ametenda zaidi ya akili yangu
Bwana amenipa kicheko
Ametenda zaidi ya mawazo yangu
Bwana amenipa kicheko
[Chorus]
Baraka, kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko
Watoto, kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko
Furaha, kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko
Huduma yangu, kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko
Umeniinua, kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko
Asante, kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko
[Outro]
Ahsante Yesu, ahsante Yesu, ahsante Yesu
Umenipa zaidi, umenipa zaidi
Amenipa kicheko
Written by: Kambua Mathu
instagramSharePathic_arrow_out