Credits
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Stevo Simple Boy
Songwriter:in
Lyrics
Aah iih naona majanga
Aah iih naona majanga weeh
Aah iih naona majanga
Aah iih naona majanga weeh
Unapenda demu unanunua maua kesho kesho uyo ndoanaye kuua
Nimechoka sana nipe namba ya kajara weweeh mh wacha masihala
Kuhusu wadangaji staki kuongea mke wa mchungaji siwalimgongea
Aah iih bhana aiih vipi weeh
Kweli ni majanga
Yule ninanii yule demu wananiih
Yule mumama anapenda wasanii
Yule dogo kabaiwa nisaniiih
Kweli naona majanga
Aah iih naona majanga
Aah iih naona majanga weeh
Aah iih naona majanga
Aah iih naona majanga weeh
Hello nabii davi naitaka gari
Kesho ninakuja kanisani mh please samahani
Hello ney collabo na ray ah aah hayo ni majanga
Nasikia juzi nasikia juzi yule demu alirusha na matusi
Huyu ex mh mmh naona majanga
Yule ninanii yule demu wananiih
Yule mumama anapenda wasanii
Yule dogo kabaiwa nisaniiih
Kweli naona majanga
Aah iih naona majanga
Aah iih naona majanga weeh
Aah iih naona majanga
Aah iih naona majanga weeh
Written by: Stevo Simple Boy