Credits
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
B2k Mnyama
Songwriter:in
Lyrics
Baby hello najua umemisi dodoodoh
Usione kero acha ibirisi aende kandooh
Wanaokuja kwa janja janja wanapotezaga
Watasifu wakipata chao wanaongeaga ndo yeyeeh
Wakusahaulishe kwa vingi hatari waseme eti mimi sikufai
Wakusahaulishe na vibatari unikane kabisa hunijui
Watasababisha malengo ya kesho haufikii
Kataa aah
Mh baby japo vishawishi ni vingi
Kataa aah
Watapendeza kwa vinjunga mfukoni sifuri
Kataa aah
Wakasaule vya mitumba waseme vizuri
Kataa aah
Mh wambie umependwa unaringa hutaki dhambi ya kuzini
Pia naunaogopa kunikoseaaah aaah
Maisha yanapanda yanashuka na hivyo vyote umeshuhudia
We unaweza kuvumiliaaaaah
Ukisema ngoja nionje hivyo ndivyo wananogewaga
Watasema no siongei wakipita wanaongeaga
Wakusahaulishe kwa vingi hatari waseme eti mimi sikufai
Wakusahaulishe na vibatari unikane kabisa hunijui
Watasababisha malengo ya kesho haufikii
Kataa aah
Mh baby japo vishawishi ni vingi
Kataa aah
Watapendeza kwa vinjunga mfukoni sifuri
Kataa aah
Wakasaule vya mitumba waseme vizuri
Kataa aah
Written by: B2k Mnyama