Lyrics

Nahisi na gundu bado kwangu hayajawa sawa
Sawa sawa hayajawa sawa
Sina huba huru sielewi kunguni yupi chawa
Nahitaji vitabu nipate ufanunuo
Labda nitaelewa maana ya mapenzi
Mapenzi naipata gadhabu maumivu kwa mkupuo
Sielewi nisome hata tenzi hata tenzi
Nikisema niyasuse nitakahidi
ninaempenda chaukucha wanamfahidi
Nikimsusa wanamkula wanamfaidi minalia
Jasho lakijoto kulala baridi
Kukaza na moyo najitahidi
Ila nashindwa hata sina budi
Sielewi nichague kulia kushoto niende wapi
Sielewi mapenzi yamenizidi nahitaji funzo niache makapi
Sielewi moyo vidonda donda tele nashindwa hema
Sielewi niseme nini kingine mimi siwezi sema
Nashindwa kulala sababu niwewe mapenzi
Mombasa nalamu nakuja kusaka hilo penzi
Bakanja bakanja moyo umeuchezesha vanga
Kuranda kuranda vugulu njiani babaa
Zile zavaranda sahivi kilio pamba
Nikiziona picha zako nahisi kufua banjaa
Nikisema niyasuse nitakahidi
Ninaempenda chaukucha wanamfahidi
Nikimsusa wanamkula wanamfaidi minalia
Jasho lakijoto kulala baridi
Kukaza na moyo najitahidi
Ila nashindwa hata sina budi
Sielewi nichague kulia kushoto niende wapi
Sielewi mapenzi yamenizidi nahitaji funzo niache makapi
Sielewi moyo vidonda donda tele nashindwa hema
Sielewi niseme nini kingine mimi siwezi sema
Written by: Akeelah Akeelah
instagramSharePathic_arrow_out