Top Songs By PAUL CLEMENT
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
PAUL CLEMENT
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
PAUL CLEMENT
Songwriter:in
Lyrics
[Chorus]
Mauti nayo, mauti nayo ulishinda, unaitwa Simba tena wa Yuda
Kushindwa hujui hiyo agenda, ndio maana mimi nakuimba
Unaponya bila bila sindano kudunga, kwa nguvu za giza bwana wewe hunilinda
Kwenye mangonjwa bwana wewe huniponya, nikiwa na wewe Sina budi kuringa
[Verse 1]
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile, wewe ni wa pekee
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile, wewe ni wa pekee
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile, wewe ni wa pekee
Wewe, haulinganishwi kamwe na kitu chochote-chochote kile, wewe ni wa pekee, wewe

Ni wewe, usiyeshindwa
Ni wewe (Oh Mungu wangu) usiyeshindwa
(Oh Mungu wangu) Ni wewe (Yeah Baba yangu) usiyeshindwa
(Ni wewe) Ni wewe (Ni wewe eh, eh) usiyeshindwa
(Ni wewe Bwana) Ni wewe (Mmh) usiyeshindwa
(Sema wewe) Wewe haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile, wewe ni wa pekee
(Sema wewe) Wewe haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile, wewe ni wa pekee
(Sema tena we mfalme) Wewe haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile, wewe ni wa pekee
[Chorus]
(Sema ni wewe Bwana) Ni wewe (Ni wewe) usiyeshindwa
(Ni wewe Bwana) Ni wewe (Mmh, Mungu wa miungu) usiyeshindwa
(Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana) Ni wewe (Wewe ni Mungu usiyendwa bwana) usiyeshindwa
(Ulikuweko toka zamani) Ni wewe (Utakuwepo hata milele) usiyeshindwa
(Ati umefanya mbingu na nchi) Ni wewe (Na ukatufanya kwa mfano wako) usiyeshindwa
(Umenifanya kwa sura yako) Ni wewe (Ili nifanane na wewe mungu) usiyeshindwa
(Unaishi ndani yangu) Ni wewe (Tena unadumu ndani yangu) usiyeshindwa
(Utabaki milele na milele) Ni wewe (Wala hufananishwi na mtu yeyote) usiyeshindwa
(Hakuna ka wewe hakuna kama wewe) Ni wewe (Hakuna ka wewe hakuna kama wewe) usiyeshindwa
[Chorus]
(Sema ni wewe bwana) ni wewe (Ni wewe) usiyeshindwa
(Ni wewe) Ni wewe (Umeketi juu ya vyote) usiyeshindwa
(Bwana ni wewe) Ni wewe (Wala sina mashaka na wewe mfalme) usiyeshindwa
(Bwana ni wewe) Ni wewe (Tunakutaja, tunakutaja,) usiyeshindwa
(Bwana ni wew), Ni wewe (Unadumu vizazi na vizazi, vizazi na vizazi) usiyeshindwa
[Outro]
Ni wewe, usiyeshindwa, no
Ni wewe, eh, eh, eh, eh, usiyeshindwa
Ni wewe, eheheheheeh, usiyeshindwa
Ni wewe, eheehehee, usiyeshindwa oh ooh
Ni wewe, sema usiyeshindwa (Usiyeshindwa)
Oh oh mh (Ni wewe usiyeshindwa)
Mungu wangu, Mungu wangu (Ni wewe usiyeshindwa)
One more time say (Ni wewe usiyeshindwa)
Written by: PAUL CLEMENT