Top Songs By Angel Benard
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Angel Benard
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Angel Benard
Songwriter:in
Lyrics
Jina la Yesu latosha kuponya
aliwahurumia walio dhaifu
akawaponya na kutakasa vilema
aliwahurumia walioonewa na
roho waouvu akawaweka huru
kutoka kwenye kifungo cha dhambi
akatupatanisha na baba yake na Mungu wetu
Lyrics powered by www.musixmatch.com