Presentada en

Créditos

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Msodoki Young Killer
Msodoki Young Killer
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
ERICK THOM MGANGA
ERICK THOM MGANGA
Songwriter:in

Letras

Wanaonijua sometimes wananiita professor Nkisha tua tuu wanashusha ma pressure Kijana wa rock town wakati na action kama director Nnavo ziacha alama ni zaidi ya tractor Asa hawashiki hii yamoto ndugu Komavu hadi naitwa sugu Movie ndo limeanza kama huwezi kubaki move Mafunzo tusha ya fuzu Usishike utakata udhu Tunatiririka kama maalim kaidaka juzuu Kila siku ni kuu, tunasahau shida Na furaha yetu ni ndefu kama shingo ya twiga Mezani baada ya kushiba, mipango na ratiba Kisha tunapiga salute unaeza ukasema Kiba team One step ahead kila kunapo kucha Kila tunapo gusa yani kila tunapo shusha Ni kila tuwapo fursa, ni kila tunapo nusa Ni kila sehemu maajabu yani kama fimbo ya Mussa Si hate kuwa inspired Watu wenye chuki na ku catch wamesha tired Acha kutia salad, fata ya Yesu na mtume Muhammad Balance mzani mambo yawe standard Either lucky or not, yani utake au hutaki Yani mwendo wa yellow subahi kama tupo Bababti Yani kama tuko na BIG afu kama tuko na PAC Afu maisha ni yangu mwenyewe kwani tuko wangapi Yeah. wanao nijua sometime wananiita professor Nkisha tua tuu inakuwa processor Sound ya kijigitali weka mabali na watoto wenye pressure Na hii ki boss yan kama Bakhresa Yaah. ofcourse Msodoki Best voice choice ya wapenda haki So you better make some noise Ka unazingatia itifaki (ofcourse) Pa ku enjoy ni kati, wanafki cha kuwalia ni bati Na ukiona amefunguka basi cha kufatia ni lock Yooh. rise and shine, Lives in a year Ooh yeah. Utamu njoo ukweli kolea ooh yeah. Radha ya hali ujue kulijenga, ujue kuogelea Ndo tulicho funzwa tangu chekechea, sio umbea Tega sikio hivi ndio vitu vya ku share Usikae mbali kama unataka ku join nami, sogea We don't care Maisha ndio haya hakuna mengine Kama unatuaminisha we ni jembe kalime Si tunaishi sio kuishia Tushikiane hisia Ukisikia shangwe kwa wingi Mwanaume ndo anaingia Macho yote kwenye kazi, hakuna wa kusinzia Vizuri uone mwenyewe, usiamini kwa kusikia Ulomwambia asiniambie huyo ndiye aliye nijuza Tulia usijifanye mwalimu, sehemu ya kujifunza Na hata siri ya akiba ndio maana inatunzwa Uliye muamini ndiye atakaye kwosha na kusuuza So. Ukijikubali mwenyewe inanatosha Snitch ukimfanya ndugu ni bonge la kosa Atakuchekea usoni, kisogoni atakunyoosha Yajayo mbele matamu zaidi ya tulivyo ota Toka wadogo mambo hayajawahi kuwa simple (simple.) Geto wahuni wanasonga ugali kwa kijiko (kijikoo) Na hauwezi hata ukaelewa ka unajisomea disco Ile siku amabayo nili wish ndo leo nipo (nipoo.) Kiongozi mkombozi Mzee wa kuwagea dozi Ofcourse hawalali ka wamelalia ngozi Yaah. machozi hayajifichi kama penzi kikohozi Yaani. ($@!$@%@£¥??.) Kama milio ya rozi rozi Am sorry. My name ni Erick. Kendrick Voice ya mtaa We nigei beat Ukitaka niwachore we nigei biki Nigei tiki Nigei kitu Ukitaka ninyonye we nigei titi. Mmmwaaah. Hehehee. ee bwana
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out