Presentada en

Créditos

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
P-Funk Majani
P-Funk Majani
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
COSMAS PAUL MFOI
COSMAS PAUL MFOI
Songwriter:in
Rashid Salim Said
Rashid Salim Said
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Chizan Brain
Chizan Brain
Produzent:in

Letras

[Chorus]
Hatuna kitu tunataka tu-shine
So inabidi tu tu-waste no time
Polepole elevate tuna’grind
Mwendo juu and we never go down
Hatuna kitu tunataka tu-shine
So inabidi tu tu-waste no time
Polepole elevate tuna’grind
Mwendo juu and we never go down
[Verse 1]
Dream life iko kwenye pain don’t sleep
Ishhh, life linapanda bei sio cheap
Wakati tunarise by lifting others
Mabosi wanarise by milking others
[Verse 2]
All the way to the top and no stopping
Kufika hapa usiulize tumetoka wapi
Maisha magumu yametukuza no cappin
Na hivyo ndivyo ambavyo tumejifunza how to rap and
[Verse 3]
Imani kwenye kazi tu, money money careful
Jasho likishuka chini tunakwenda top juu
Jasho livujie nini pesa iko perfume
Fake wote tunawafinyia chini chapu
[Verse 4]
Nsharuka ukuta nyumbani kurudi usiku
Hadi nikafukuzwa ila wala sikuona issue
Nkazitafuta ‘coz hata sikuwa na kitu
Sasahivi nikishtuka mjengoni najionea peace tu
[Chorus]
Hatuna kitu tunataka tu-shine
So inabidi tu tu-waste no time
Polepole elevate tuna’grind
Mwendo juu and we never go down
Hatuna kitu tunataka tu-shine
So inabidi tu tu-waste no time
Polepole elevate tuna’grind
Mwendo juu and we never go down
[Refrain]
Tunataka chetu fasta
Usiku mzima sie ma hustler
Tunataka chetu fasta
Usiku mzima sie ma hustler
[Verse 5]
Mtaani tume’chill kwenye corner
Mishe nonstop ukiniona
J’s on my feet when I’m steppin
I’m tryna be good **** I’m tryna be great and
[Verse 6]
Nkikamata cash ukiniona
Niko nimechill na ma’stoner
And everyday i’m tryna get more
Mpaka tukiumana street wani’treat kama MO
[Verse 7]
Same old hustle just a different ways
Nikipost niko site ujue mshkaji I don’t play
Wapo wanao’hate I don’t care what you say to me
Macho kwenye chedda I’m working like all days in a week
[Verse 8]
Lowkey na siogopi
Nshajikoki sidondoki na sichoki
Nina force nijaze pochi na minoti
Sitaki gossip hapa no tea
[Chorus]
Hatuna kitu tunataka tu-shine
So inabidi tu tu-waste no time
Polepole elevate tuna’grind
Mwendo juu and we never go down
Hatuna kitu tunataka tu-shine
So inabidi tu tu-waste no time
Polepole elevate tuna’grind
Mwendo juu and we never go down
[Refrain]
Tunataka chetu fasta
Usiku mzima sie ma hustler
Tunataka chetu fasta
Usiku mzima sie ma hustler
Written by: COSMAS PAUL MFOI, Rashid Salim Said
instagramSharePathic_arrow_out