Presentada en

Créditos

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Madee
Madee
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Hamadi Ally Seneda
Hamadi Ally Seneda
Songwriter:in

Letras

every things change all never people say because of you ukisema mapenzi kwangu utabaki mlezi sitoketi mpaka nione utekezi ukiniacha najua unanitesa kisa sina pesa kutwa nzima ningekesha sina zaidi ya kichwa changu ni wewe iweje wafaidi warukao kama mwewe ughiribu wa penzi mola huwa hapendi huwezi fananisha chupi cape na singlend ila zipo kwenye tv ama deki ebu jilinde mwenyewe nimechoka kua beki napata picha kwenye bed unavyo shake yani naumia sana mtima unavyopigwa jeki sometimes nakufuru nakosa mpaka uhuru naona mbele kiza lini nitapata nuru (right) asante mola napumua bila ushuru ila sishukuru mbona umeniumba kunguru swala la mapenzi halina ujuzi wala sifa aina nansi sumari mrembo wa kimataifa ninachopenda zaidi kwako ni maarifa kama warembo flani jenifa na latifa haya yote ni maisha ipo siku yatakwisha leo mja naangaika mambo yamebadilika haya yote ni maisha ipo siku yatakwisha leo mja naangaika mambo yamebadilika kama maisha mi nadhani yako sawa ni kitu gani kwa wajinga unachachawa niende kwa waganga nikasake dawa ningelikua na uwezo ningeruka hata kwa mbawa yani nabaki nashangaa sina rahaa (sina rahaa) habiba wangu kwanini unanikataa heri ungenimwaga kuliko kunimimina nahisi kitu flani mnyamwezi madee sina sikiza basi mrube ninachosema nalia kwani hujanieleza mapema ile kauli yako kwamba hunitaki tena kila nikikumbuka yani nashindwa kuhema najua unaumia sana ukifikiria nashindwa hata hela ya kununua sidiria haya yote ni maisha rudi tupigane nayo jikaze kua mpole usiskize wasemayo haya yote ni maisha ipo siku yatakwisha leo mja naangaika mambo yamebadilika haya yote ni maisha ipo siku yatakwisha leo mja naangaika mambo yamebadilika wote walio nazo naamini walizikuta bado naweka mkazo na nazidi kutafuta najua ipo siku mama utarudi home mara ya mwisho tumeongea kwenye phone uko dom basi sala salamu mi niko daressalam huku maisha machungu kwa wengine ni matam ona sasa watoto wanalia ona sasa baba yao naumia nazidi kujikaza anitoe nung'uniko sometimes nakuwaza mpaka nakiuka miiko njoo uvumilie shida zina mwisho wake baba mungu kamuumba mja riziki zake njoo tuishi tena wanga tuwakate ngebe mimi bila ya wewe labda arudi samdembe mola akulaze pema najua unasikia yaliojiri nyuma yako shemejio kakimbia haya yote ni maisha ipo siku yatakwisha leo mja naangaika mambo yamebadilika (yamebadilika) haya yote ni maisha (yote ni maisha) ipo siku yatakwisha leo mja naangaika mambo yamebadirika mmmmh lololooo yatakuja kubadirika yote ni maisha mpenzi wanguu rudi kwangu mamaaa moyoni sina amani mpenzi wangu haya yote ni maisha ipo siku yatakwisha leo mja nahangaika mambo yamebadirika haya yote ni maisha ipo siku yatakwisha leo mja nahangaika mambo yamebadilika (end)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out