Lyrics

Eh, I'm tryna tell my friends this is different Kama you got me end of the mission They say "stop playing, we mzee are you going insane" Unapewa nini masikio, you don't listen Bomboclaat (Sounds by Abbah) Yeah, jana nilikuwa tips, eh Kulimwagika pisi, eh Maradhi pekee ndio yangefichwa Uzuri wako umenijaa kwa kichwa Nikazikumbuka hips, eh Unavyong'ata ng'ata lips, eh I know that you miss me Why don't you come and kiss me, my baby, uh-uh Ah-ah, umetawala nchi kavu, umetanda angani Unanipa mitihani, natokea njia gani Uko nyumbani, uko mtaani, uko kazini Uko maskani, uko viwanjani, uko moyoni umejaa, jaa ndani Matukio yanarewind-wind kichwani You're one of the kind, umeshinda wapinzani Pozi zako, dah, ile sura ya furaha You're my friend, you're my lover, you're my superstar Nimeshindwa, nimeshindwa kulala last night Nikiangalia kitanda we used to play pillow fight Come back to me, I'm not doing alright Ukiona mtu mzima analia ujue vitu ziko tight, tight Hata iwe mapenzi yamekwisha Kumbuka kuna (mazoea) Eh-eh, baby, uh-uh (mazoea) Hata kama mapenzi yamekwisha Yanabaki (mazoea) Eh-eh, baby, uh-uh (mazoea) Uh, uh Nakunywa pombe nilewe sababu ni wewe Silewi zinanipalia, ooh (uuh) Umenipatia Uhuhu (uhuhu) Unanijulia Najipa imani, it's okay My heart is broken Naogelea matope Wacha nijikokote Wacha nijiokote It's okay, it's okay Na sitafika popote, damn Si unajua arosto, I'm in so pain Your love inanipa addiction kama Cocaine Naona kabisa umeshanidamage on my brain I'm so high captain jump off the plane Nimeshindwa, nimeshindwa kulala last night Nikiangalia kitanda we used to play pillow fight Come back to me, I'm not doing alright Ukiona mtu mzima analia ujue vitu ziko tight, tight Hata iwe mapenzi yamekwisha Kumbuka kuna (mazoea) Eh-eh, baby, uh-uh (mazoea) Na hata kama mapenzi yamekwisha Yanabaki (mazoea) Eh-eh, baby, uh-uh (mazoea) Yao, yao It's Konde Boy call me "Number one," ei Konde Music Worldwide They call me "King Classic" The Mix Killer
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out