Lyrics

Konde boy, call me number one (It's Cukie Dady) Mmh, baby your eyes on my phone Yani utadhani body langu sexy, sexy hulioni Yeah, always on my phone Unatazama nani anae nitext text ajabu humuoni You better know Upendo wangu umeugeuza fimbo Haya ni mapenzi sio ulimbo Matusi yamekuwa wimbo hadi namiss kuwa single Moyo unapenda amani kwanza Kisha vitu vya thamani why? Humalizi ukianza ka' tuko mahakamani You better go (you better go) Baby, I'll let you go (rumba) You better go, I'll let you go You better go, aah, I'll let you go (sijakupenda unitende) You better go, I'll let you go (uende ama niende) You better go, mmh, I'll let you go (Hadi namiss kuwa single) Yeah, mwenzenu nakichwa cha nyoka siuwezi mzigo wa mawazo Ninacho hofia meno yatanitoka nguvu za kusukumana sinazo Nani kakuchoma mkuki? Mbona damu zinanivujia mimi Na kukucheat sikumbuki baby, utaniamini lini? Furaha imepotea, kila kitu kwako nakosea Ooh, uh, kujitetea hadi nishaanza kuzoea Moyo unapenda amani kwanza Kisha vitu vya thamani why? Humalizi ukianza ka' tuko mahakamani You better go (you better go) Baby, I'll let you go (rumba) You better go, I'll let you go You better go, aah, I'll let you go (uh, sijakupenda unitende) You better go, I'll let you go (uende ama niende) You better go, mmh, I'll let you go (Hadi namiss kuwa single) Ah-ah, ah, mm-mm, ah-ah It's Konde Boy, call me number one, yeah Konde Music Worldwide (The Mix Killer)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out