Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Them Mushrooms
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Them Mushrooms
Songwriter:in
Lyrics
Kolo kolola
Mama kolola kolola
Kolo kolola
Mama kolola kolola
(Embe dodo, embe dodo)
(Limelala mchangani)
(Embe dodo, embe dodo)
(Limelala mchangani)
Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele
Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele
Kolo kolola
Mama kolola kolola
Kolo kolola
Mama kolola kolola
(Embe dodo, embe dodo)
(Limelala mchangani)
(Embe dodo, embe dodo)
(Limelala mchangani)
Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele
Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele
Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele
Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele
Kweli ajali
Haikingiki
Asainipo
Mola mwenyewe
Kweli ajaaali
Haikingiki
Asainipo
Mola mwenyewe
Ni chombo imara
Chenye thamani
Kilichopasishwa
Uingerezani
Kilinguruma Likoni kikatiririka
Wale pasenja wakafelea baharini
Dereva kombo ungama zako zimekwisha
Kwetu Mombasa jirani wazikwa shirika
Tuliona hivyo kwaherini
Tuliona hivyo kwaherini
Tuliona hivyo kwaherini
Tuliona hivyo kwaherini
Nilitoka kwako juzi
Nikitaka kusabahi
Mami oh alinijibu
"Mwenzio hayuko katoka"
Nikamwuliza kenda wapi?
Akasema "hajui vema"
Nikipita vichochoroni
Nakukuta ukinywa chang'aa
Umekwisha potea
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri
Kwa kunywa chang'aa
Umekwisha potea
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri
Kwa kunywa chang'aa
Nilitoka kwako juzi
Nikitaka kusabahi
Mami oh alinijibu
"Mwenzio hayuko katoka"
Nikamwuliza kenda wapi?
Akasema "hajui vema"
Nikipita vichochoroni
Nakukuta ukinywa chang'aa
Umekwisha potea
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri
Kwa kunywa chang'aa
Umekwisha potea
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri
Kwa kunywa chang'aa
Umekwisha potea
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri
Kwa kunywa chang'aa
Umekwisha potea
Umekwisha potea
Wapotea mtoto mzuri
Kwa kunywa chang'aa
Chiriku kuu na machozi
Mbali kule kokotoni
Moyo hufanya manyezi
Ni kukosa kwa utunduni
Siku zapita sina usingizi
Sina furaha moyoni
Kwa nilivyokuzoea
Kwa nilivyokuzoea
Kwa nilivyokuzoea
Chiriku kwa yako rangi
Ilivyoniingia moyoni
Nikenda mbali siishingi
Kukuacha pweke tunduni
Siku zapita sina usingizi
Sina furaha moyoni
Nakumbuka mazoea
Nakumbuka mazoea
Nakumbuka mazoea
Nakumbuka mazoea
Nakumbuka mazoea
Nakumbuka mazoea
Kolo kolola
Mama kolola kolola
Kolo kolola
Mama kolola kolola
(Embe dodo, embe dodo)
(Limelala mchangani)
(Embe dodo, embe dodo)
(Limelala mchangani)
Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele
Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele
Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele
Kwa huba, na mazoea
Uwe wangu wa milele
Written by: Them Mushrooms