Lyrics

Let us proceed with the first song Donnie Yen Ndio kufika bana sorry niko late Donnie Yen Rada zangu chafu nikimedicate Niliomoka kijana huezi kurelete Ushacheki Rada msupa acha kudelay Mdogo mdogo bana zangu zote likobe Ako horny Ju ya Henny na bado nikobase Niko base Mkono zetu zote za ku paper chase Niko paid Wakifika bei utaniona place Nyaribari chache nyaribari chache Vindu vichenganga Bonga mbaya mi nachinja ua P I I double z DON Donnie Yen Ndio kufika bana sorry niko late Donnie Yen Rada zangu chafu nikimedicate
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out