Lyrics

Na ma fan wanadai Simba bonga, simba bonga Ma fan wanadai dai dai Simba bonga simba bonga Na msupa anadai Simba bonga simba bonga Na msupa anadai dai dai dai Simba bonga simba bonga Sina mboga sima Sima mboga sina Si lazima dinner Zima mpaka stima Ita mama pima Ka ni shamba lima Chimba hii kisima FIFA dimba buda mimba Sneaker si timba Rada ni bonga na simba ye Jungle kwa Fever Ambia Diva apewe njiva ye Don ni Killer Bonga mbaya utazimwa wewe Hater alizima Pizzo de Na ma fan wanadai Simba bonga, simba bonga Ma fan wanadai dai dai dai Simba bonga simba bonga Na msupa anadai Simba bonga simba bonga Msupa anadai dai dai dai Simba bonga simba bonga Na ma fan wanadai Simba bonga, simba bonga Ma fan wanadai dai dai dai Simba bonga simba bonga Na msupa anadai Simba bonga simba bonga Msupa anadai dai dai dai Simba bonga simba bonga Ukitaka utapata Ukishindwa utakataa Ukikatwa utashangaa Oh craft ni which art Eh art ni witchcraft Donald trump kwa twitter Daily ni vita tuko in suspense Ka dress cord ya Larry King Manjege kwa dance floor Iende chain wajibambe Credo machingli Body mzima inalambwa Na mabikra Funga kalonzo na kamba Waba nashower na mamba Uhunye nani ndio mama Rada ni kwamba Agwambo ni baba Vitu Ka ground ni different coz Ministry of sport iko na mchezo Picha nachoma na menjoz Ganji ma pesos gwanda benzo Don don king king Jon Jon mixing Niko mangunga Chunga kichungi rada kidungi Na ma fan wanadai Simba bonga, simba bonga Ma fan wanadai dai dai dai Simba bonga simba bonga Na msupa anadai Simba bonga simba bonga Msupa anadai dai dai dai Simba bonga simba bonga Na ma fan wanadai Simba bonga, simba bonga Ma fan wanadai dai dai dai Simba bonga simba bonga Na msupa anadai Simba bonga simba bonga Msupa anadai dai dai dai Simba bonga simba bonga
Writer(s): Alan Mensah, Henry Onyango Ohanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out