Top Songs By Harmonize
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Harmonize
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Rajabu Ibrahim Abdulkahali
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Manwater
Produzent:in
Lyrics
[Chorus]
Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
[Chorus]
Mama Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
[Verse 1]
Acha waseme mchana
Usiku watalala
Acha waseme mchana
Usiku watalala
[Verse 2]
Acha waseme mchana
Usiku watalala
Acha waseme mchana
Usiku watalala
[Verse 3]
Za upole tabia
Hivi ni nani kama Samia
Ona anavyotuhudumia
Halali kugufikira
[Chorus]
Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
[Refrain]
Raisi wa wanyonge (Samia)
Mchapakazi (Samia)
Kama unawivu kajinyonge (Samia)
Ila ukweli upo wazi (Samia)
[Chorus]
Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
[Chorus]
Mama Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
[Verse 4]
Waite wabara visiwani
Zanzibar, Unguja na Pemba
Nataka niweke hadharani
Nimechoka kuyaficha chemba
[Refrain]
Harambee, harambee mama harambee
Harambee, harambee mama harambee
Harambee-harambee, harambee mama harambee
Harambee, harambee mama harambee
[Refrain]
Mama Samia (Tumlete, umkumbatie tumbusu)
CCM (Walete, tuwakumbatie tuwabusu)
Wapinzani (Walete, tuwakatekate, tuwatupe)
[Chorus]
Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
[Refrain]
Raisi wa wanyonge (Samia)
Mchapakazi (Samia)
Kama unawivu kajinyonge (Samia)
Ila ukweli upo wazi (Samia)
[Chorus]
Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
[Chorus]
Mama Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
[Refrain]
Alipo mama tupo (Samia)
Vijana tupo (Samia)
Alipo mama wapo (Samia)
Wazee wapo (Samia)
[Refrain]
Alipo mama tupo (Samia)
Bodaboda tupo (Samia)
Alipo mama tupo (Samia)
Wajasiliamali tupo (Samia)
[Outro]
Samia ni wetu sote
Tunatamba nae
Written by: Rajabu Ibrahim Abdulkahali