Lyrics

34 44 Yo Yo Yo Yo Hongo ya karao Siku hizi ni ki thao Na kwa pori ni ki mbao Pole mkubwa si si si madharau Na kivuta ndo angalau Niondoke hizo hizo hizo swara zao Hizo hizo hizo swara zao Niondoke hizo hizo hizo swara zao Niondoke hizo swara zao Nakivuta niondokee izo swara zao yo Izo swara zao Nakivuta niondokee izo swara zao ati yo Izo swara zao NiggaShawn mi sjaipenda makarao Wana mambo lakini iyo ni mambo yao Wanadai ati kunipiga miaka mbao Na niko mbao iyo si ni madharau Lazima tutafight back mkiviolate I swear siezi sit back na fala ananitempt Hatujai get along so sio bure wananihate Mi upiga lap their endz na wanasema wananitrace Out of ten ni nyi wawili ndio mnahate Ten outta ten anaglow ni Shantel Anapenda ma designer MaGucci na Channel Twende shopping on weekends Tucatch a flight holiday Monday back to studio ndio hao manigga wajue siplay Naeza drop a million bars na nisirun out of words Top ten kwa charts Five star kwa izo ranks My niggas got my back Na wako ready kumake an act Bad bih ako kwa bando Nliacha lil bro aclap I'm sick of these bitches Sai nataka racks Nigga we ni bitch Ka unayap ndani ya aah Version yangu in your heads I'm badder than that Hongo ya karao Siku hizi ni ki thao Na kwa pori ni ki mbao Pole mkubwa si si si madharau Nakivuta ndo angalau Niondoke hizo hizo hizo swara zao Hizo hizo hizo swara zao Niondoke hizo hizo hizo swara zao Niondoke hizo swara zao Nakivuta niondokee izo swara zao yo Izo swara zao Nakivuta niondokee izo swara zao ati yo Izo swara zao NiggaShawn mi sjaipenda makarao Wana mambo lakini iyo ni mambo yao Wanadai ati kunipiga miaka mbao Na niko mbao iyo si ni madharau Hawajui what I've been through na sai wananiwatch Ilinitake time na sai wananiwatch Nimeshed blood & tears a lot imenicost A lot nimeSee but less naeza Talk Talk about us me na Shawn jo ni BaD Me na Gwash tunawashika izi maBudZ Talk about Us me na Shawn jo ni BaD Me na Gwash tunawashika izi maBudZ Chunga unaweza gwara na ki nyaoo Nadai msupa anaeza fanya hii chuma ikaa mbao Tuna zoza bila hao Hadi wanaita makarao Nasalitiwa na machaji nime grow nao Hadi nashindwa rada how Kudandiwa na karao Na kwa pori ni ki mbao Hongo ya karao siku izi ni ki thao Hongo ya karao siku izi ni ki thao Na magunga tunawashanga saa sita usiku Si uziwashanga saa sita usiku Ka ni mboka siupiganga magiz usiku Kuwakaba kuwashika usiku Na magunga tunawashanga saa sita usiku Si uziwashanga saa sita usiku Ka ni mboka siupiganga magiz usiku Kuwakaba kuwashika usiku Yo thirty thirty thirty four forty four Yo yo uuuwooo
Writer(s): Amos Mutuku, Justin Waweru, Sebastian Saneti, Shawn Caeser Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out