Top Songs By Thirtyfourbrick
Similar Songs
Credits
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Justin Waweru
Songwriter:in
Sebastian Saneti
Songwriter:in
Shawn Caeser
Songwriter:in
Amos Mutuku
Songwriter:in
Lyrics
34 44
Yo Yo Yo Yo
Hongo ya karao
Siku hizi ni ki thao
Na kwa pori ni ki mbao
Pole mkubwa si si si madharau
Na kivuta ndo angalau
Niondoke hizo hizo hizo swara zao
Hizo hizo hizo swara zao
Niondoke hizo hizo hizo swara zao
Niondoke hizo swara zao
Nakivuta niondokee izo swara zao yo
Izo swara zao
Nakivuta niondokee izo swara zao ati yo
Izo swara zao
NiggaShawn mi sjaipenda makarao
Wana mambo lakini iyo ni mambo yao
Wanadai ati kunipiga miaka mbao
Na niko mbao iyo si ni madharau
Lazima tutafight back mkiviolate
I swear siezi sit back na fala ananitempt
Hatujai get along so sio bure wananihate
Mi upiga lap their endz na wanasema wananitrace
Out of ten ni nyi wawili ndio mnahate
Ten outta ten anaglow ni Shantel
Anapenda ma designer
MaGucci na Channel
Twende shopping on weekends
Tucatch a flight holiday
Monday back to studio ndio hao manigga wajue siplay
Naeza drop a million bars na nisirun out of words
Top ten kwa charts
Five star kwa izo ranks
My niggas got my back
Na wako ready kumake an act
Bad bih ako kwa bando
Nliacha lil bro aclap
I'm sick of these bitches
Sai nataka racks
Nigga we ni bitch
Ka unayap ndani ya aah
Version yangu in your heads
I'm badder than that
Hongo ya karao
Siku hizi ni ki thao
Na kwa pori ni ki mbao
Pole mkubwa si si si madharau
Nakivuta ndo angalau
Niondoke hizo hizo hizo swara zao
Hizo hizo hizo swara zao
Niondoke hizo hizo hizo swara zao
Niondoke hizo swara zao
Nakivuta niondokee izo swara zao yo
Izo swara zao
Nakivuta niondokee izo swara zao ati yo
Izo swara zao
NiggaShawn mi sjaipenda makarao
Wana mambo lakini iyo ni mambo yao
Wanadai ati kunipiga miaka mbao
Na niko mbao iyo si ni madharau
Hawajui what I've been through na sai wananiwatch
Ilinitake time na sai wananiwatch
Nimeshed blood & tears a lot imenicost
A lot nimeSee but less naeza Talk
Talk about us me na Shawn jo ni BaD
Me na Gwash tunawashika izi maBudZ
Talk about Us me na Shawn jo ni BaD
Me na Gwash tunawashika izi maBudZ
Chunga unaweza gwara na ki nyaoo
Nadai msupa anaeza fanya hii chuma ikaa mbao
Tuna zoza bila hao
Hadi wanaita makarao
Nasalitiwa na machaji nime grow nao
Hadi nashindwa rada how
Kudandiwa na karao
Na kwa pori ni ki mbao
Hongo ya karao siku izi ni ki thao
Hongo ya karao siku izi ni ki thao
Na magunga tunawashanga saa sita usiku
Si uziwashanga saa sita usiku
Ka ni mboka siupiganga magiz usiku
Kuwakaba kuwashika usiku
Na magunga tunawashanga saa sita usiku
Si uziwashanga saa sita usiku
Ka ni mboka siupiganga magiz usiku
Kuwakaba kuwashika usiku
Yo thirty thirty thirty four forty four
Yo yo uuuwooo
Writer(s): Amos Mutuku, Justin Waweru, Sebastian Saneti, Shawn Caeser
Lyrics powered by www.musixmatch.com