Lyrics

Nimeroll na kibenz tamashani Straight hadharani, mresh ka zamani Gwash flani venye wako sexy mamami Na kushake stakabadhi Hali seist tafadhali Nimeroll na kibenz tamashani Straight hadharani, mresh ka zamani Gwash flani venye wako sexy mamami Na kushake stakabadhi Hali seist tafadhali aah Yeah, Mkadinali mi huwanga wera tu Hakina happy birthday nishai zoza 2-4-7 till feb 29th, watajuaje Munga sina zodiac Crime daily sina mass following Fuck Diamond, hizo love song Si ndio machozi watakudry-dry, tumerudi kama waizi wa motobike Hivi ndio venye mi hudunda, klabu na ndenga Mombasa kuchuda Swaga balaa navyo dunga, hadi watu wa Mungu huchocha secret ni dumba Straight makilo finesse, watajuaje bazenga ako ndani ya nyumba Wife material my ass, cheki ratchet Anapretend na ni kuga Man mtaa mi ni hood rich, Mike Sonko bila hand outs Nikiraukanga huski ni uji Sababu lunch ni ndogogis tu na handas Ndio ujue za boychild zisharunda Kwetu hutarget mtoto wa kike na kigunga Gang banging hapa, Nairo sikuhizi gang lane ndio mtaa Nimeroll na kibenz tamashani Straight hadharani, mresh ka zamani Gwash flani venye wako sexy mamami Na kushake stakabadhi Hali seist tafadhali Nimeroll na kibenz tamashani Straight hadharani, mresh ka zamani Gwash flani venye wako sexy mamami Na kushake stakabadhi Hali seist tafadhali aah Nimeroll na kibenz tamashani nakiset hadharani Dunga vest 'pana shari, Munga race kana salim Mkunywa pills na makali Nina Prisca na Zari, wanawhisper kwa umbali Ati please ka ni kadi Hizo biz ka ni funny, mimi siko hio kazi Ya ku breeze kanisani ulijisifu waziwazi Wana insists 'kadinali keep it simple Hii ni mbogi ya kublaze hadi morning Zigizigi Aai, sijai tense kama kuna ngori nacool Thug face wrong rende ni ya ma gorilla tu One take ki Mark mende nina holy per crew Haiwes make ka kuweka nyama pori kwa zoo Nimeroll na kibenz tamashani Straight hadharani, mresh ka zamani Gwash flani venye wako sexy mamami Na kushake stakabadhi Hali seist tafadhali Nimeroll na kibenz tamashani Straight hadharani, mresh ka zamani Gwash flani venye wako sexy mamami Na kushake stakabadhi Hali seist tafadhali aah Nimeroll na kibenz tamashani Straight hadharani, mresh ka zamani Gwash flani venye wako sexy mamami Na kushake stakabadhi Hali seist tafadhali Nimeroll na kibenz tamashani Straight hadharani, mresh ka zamani Gwash flani venye wako sexy mamami Na kushake stakabadhi Hali seist tafadhali aah
Writer(s): Churchill Oganga Mandela, David John Munga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out