Top Songs By Dr. Ipyana
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Dr. Ipyana Peter Kibona
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Dr. Ipyana Peter Kibona
Songwriter:in
Lyrics
Unamiliki anga
Jua mwezi na Nyota
Mkono wako umevifanya
Pumzi yako imeivifanya
Tumekuja mlima sayuni
Kukusifu kukuabudu
Maserafi makerubi twaungana nao
Unatunza maagano
Huna mwanzo huna mwisho
Neno hakika wala halina hukumu
Tumekuja mlima sayuni
Kukusifu kukuabudu
Maserafi makerubi twaungana nao
Mlima ya yeyuka
Mbele zako
Nani kama wewe Mungu wetu
(Tunakiri hakuna)
Nani kama wewe Bwana
Nani kama wewe
(Hayupo)
Nani kama wewe Bwana
Nani kama wewe
Mlima ya yeyuka
Mbele zako
Nani kama wewe Mungu wetu
(Magonjwa)
Magonjwa ya yeyuka
Mbele zako nani kama wewe
Mungu wetu
Mlima ya yeyuka
Mbele zako
Nani kama wewe Mungu wetu
Tunakiri hayupo)
Nani kama wewe Bwana
Nani kama wewe
Madeni yeyuka
Mbele zako
Nani kama wewe Mungu wetu
Cancer yeyuka
Mbele zako
Nani kama wewe Mungu wetu
Kisukari cha yeyuka
Mbele zako
Nani kama wewe Mungu wetu
Ukimwi wa yeyuka
Mbele zako
Nani kama wewe Mungu wetu
Nani kama wewe Bwana
Nani kama wewe
Writer(s): Dr. Ipyana Kibona
Lyrics powered by www.musixmatch.com