Lyrics

Eh, Mungu matendo yako yanishangaza Eh, Bwana ukuu wako wanishangaza Nikufananishe na ni Bwana wangu Nikulinganishe na nani Bwana wangu? Wastahili Ibada yangu Bwana Wewe uliyeketi juu sana ninakuinua Maana hakuna aliye kama wewe Ninainua jina lako juu sana Maana umetukuka Mungu wewe Mungu wee Umeinuliwa juu ya falme zote Matendo yako Mungu wangu yanatisha sana Oooh, ni wewe Mungu usiyeshindwa Ni wewe Mungu mwenye uweza Wewe uliyeketi juu sana ninakuinua Maana hakuna aliye kama wewe Ninainua jina lako juu sana Maana umetukuka Mungu wewe Mungu wee Bwana wa Mabwana Bwana wa Mabwana Bwana wa Mabwana Nikufananishe Nikufananishe na ni Bwana wangu Nikulinganishe na ni Bwana wangu? Wastahili Ibada yahgu Bwana Ninakusifu, Twakutuza Ninakusifu, Twakutuza Ninakusifu, Twakutuza Yahweh, Yahweh, Yahweh Yahweh uhimidiwe Yahweh, Yahweh, Yahweh Yahweh uinuliwe Yahweh, Yahweh, Yahweh Yahweh ubarikiwe Ambia Yesu kwa kinywa chako Yeye ni mwema (Ni mwema) Ambia Yeye kwa kinywa chako Yeye ni mwema (Ni mwema) Jina la Yesu ni Mwamba Jina la Yesu ni Mwamba Jina la Yesu ni Mwamba Yahweh, Yahweh, Yahweh Yahweh uhimidiwe Yahweh, Yahweh, Yahweh Yahweh uinuliwe Yahweh, Yahweh, Yahweh Yahweh, ubarikiwe Tukuza Jesus Tukuza Jesus Tukuza Jesus
Writer(s): Essence Of Worship Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out