Lyrics

Kama sio wewe, ningekuwa wapi mimi. Kama sio wewe, ningekuwa wapi mimi. Umejawa na rehema na neema tele. Umejawa na rehema na neema tele. Kama sio wewe (oooh), ningekuwa wapi mimi (Yesu wangu eeh). Kama sio wewe, ningekuwa wapi mimi (Uuuumejawa), umejawa na rehema (nazo neema) na neema tele. (Umejawa), umejawa na rehema(nazo rehema) na neema tele. Kwa wema wako Bwana, leo nimeokolewa, kwa huruma zako nyingi, mimi nimesamehewa, na kwa pendo lako kuu, mimi nimekombolewa. Nasema umejawa na rehema na neema tele Baba yangu. Kama sio wewe, ningekuwa wapi mimi (kama sio wewe) Kama sio wewe, ningekuwa wapi mimi (ooh) Umejawa na rehema (umejawa) na neema tele (Yesu weee)Umejawa na rehema na neema tele. Shetani alinionea, Yesu ukanitafuta. Ukaniokowa wewe kwa rehema na neema. Ukaniregesha kwako, ukaniita mwanao. Kwa rehema zako na neema, mimi nimesamehewa. Kama sio wewe, ningekuwa wapi mimi (kama sio weeweee) Kama sio wewe (Baba), ningekuwa wapi mimi (Umejawa) Umejawa na rehema na neema tele. (Umejawa) Umejawa na rehema na neema tele. Kama sio wewe, ningeitwa nani leo. Ningekuwa sina jina, ningekuwa sina maana. Lakini kwa kifo chako, nimepata kuwa na jina. Ninaitwa mwana wa Mungu, ninaitwa mtakatifuuuu. Kama sio wewe (eeeh), ningekuwa wapi mimi (ningekuwa sina maana) Kama sio wewe, ningekuwa wapi mimi. (Baba umejawa) Umejawa na rehema (na rehema) na neema tele (Umejawa) Umejawa na rehema (ewe Baba) na neema tele. Asante Yesu, kwa fadhili zako nyingi. Asante Baba, kwa upendo wako mwingi. Umenisamehe mimi, umeniosha, ukanifanya wako, asante. Kama sio wewe (Baba yanguuu), ningekuwa wapi mimi. (Kama sio wewe) Kama sio (eeeh) wewe ningekuwa wapi mimi. (Lakini wewe Baaaba) Umejawa na rehema (na neema) na neema (na neema) tele. (Lakini wewe Baba yangu) Umejawa na rehema na neema tele.
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out