Lyrics
[Chorus]
Damu iliyo mwagika
Pale msalabani Kalvary
Damu iliyo mwagika
Pale msalabani kalvary
Hiyo damu yanitosheleza
Hiyo damu yake Mwokozi
Hiyo damu yanitosheleza
Hiyo damu yake Mwokozi
[Verse 1]
Nimesamehewa nimeoshwa dhambi
Kwa Damu yake Mwokozi
Nimekombolewa tena nimehesabika
Kwa Damu yake Mwokozi
Nimeoshwa dhambi nimesamehewa mimi
Kwa Damu yake Mwokozi
Nimekombolewa tena nimehesabika
Kwa Damu yake Mwokozi
[Chorus]
Damu iliyo mwagika
Pale msalabani Kalvary
Damu iliyo mwagika
Pale msalabani Kalvary ooh
Hiyo damu yanitosheleza
Hiyo damu yake Mwokozi
Hiyo damu yanitosheleza ooh
Hiyo damu yake Mwokozi
[Verse 2]
Yesu aliingia mahali patakatifu
Kwa Damu yake Mwenyewe
Na sisi tumefanyika ukuhani na wafalme
Kwa Damu yake Mwokozi
Yesu aliingia mahali patakatifu
Kwa Damu yake Mwenyewe
Na sisi tumefanyika wafalme na makuhani
Kwa Damu yake Mwokozi
[Chorus]
Damu iliyo mwagika
Pale msalabani Kalvary
Damu iliyo mwagika
Pale msalabani Kalvary ooh
Hiyo damu yanitosheleza
Hiyo damu yake Mwokozi
Hiyo damu yanitosheleza ooh
Hiyo damu yake Mwokozi
[Verse 3]
Pale, pale
Pale, pale, Msalabani
Pale, pale ndipo nimetulia
Pale, pale
Pale pale, Msalabani
Pale, pale ndipo nimetulia
[Chorus]
(Nimejitwika) Pale, pale
(Nimejificha) Pale, pale
(Chini ya msalaba) Pale, pale ndipo nimetulia

Written by: Kestin Mbogo