Top Songs By Rj The Dj
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Rj The Dj
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Rj The Dj
Songwriter:in
Khadija Kopa
Songwriter:in
Lava Lava
Songwriter:in
Mbosso
Songwriter:in
Romeo Bangula
Songwriter:in
Lyrics
Kiraruraru uso na haya ukatulia, una kiwaruwaru kutanga tanga kiguu na njia
We jini kifaru vya watu unavamia, unacharuka-charu kiso chako unanyapia
Huchagui mzima wa mdondo (Ahhah!), sikinde ama msondo kibua ana kamongo we twende
Ati kimechina kina shombo (Oh!), wa Kinshasa Congo, Makabila Manifon'go kiweembe, iyee!
Kifolongo, Kiforongo, rudi kwenu Nchamba Wima, Kifolongo, Kifolongo hili jiji linazizima
Kiforongo Kifolongo, rudi kwenu Nchamba Wima, Kifolongo, Kifolongo hili jiji linazizima
Kaweka la Kichina yaani nyuma kama lote, yani kama lote
Kabadilishwa jina aitwa Sungura Tope, Sungura Tope
Nani mjui kwa kuzoa-zoa (Kipenyembe), ye hachagui bomoa-bomoa (Kiberenge)
Kwa mabachelor hupozwa kimoko (Moko-moko)
Tipa selera, mchanga na kokoto (Kokoto)
Boma la masela tepe boko-boko (Boko-boko)
Ni kanga na dera, mambo foko-foko (Fo-fo)
Kifolongo, Kiforongo, rudi kwenu Nchamba Wima, Kifolongo, Kifolongo hili jiji linazizima
Kiforongo, Kifolongo, rudi kwenu Nchamba Wima, Kifolongo, Kifolongo hili jiji linazizima
Siri Imevuja kagonganisha mabwana huyu kibwengo
Anawavuruga wameandanana wananzengo
Kubadili sampo afanya ushindani (Kala hasara)
Iwe dampo ama barabarani (Kwa Daladala)
Akupa utakacho ata kwenye majani (Kwenye jalala)
Ulichonacho kwake sawa (Yeye anapwala)
Kifolongo, Kiforongo, rudi kwenu Nchamba Wima, Kifolongo, Kifolongo hili jiji linazizima
Kiforongo, Kifolongo, rudi kwenu Nchamba Wima, Kifolongo, Kifolongo hili jiji linazizima
Ayaa msokote-msokote mchomoe (Mwana nyumbu kalilia usinga si wake)
Mkokote-mkokote mbomoe (Mwana nyumbu kalilia usinga si wake)
Jembe hilo, pembe hilo la ng'ombe hilo
Pembe hilo, pembe hilo la ng'ombe hilo
Kawamaliza waganga (Pembe), vibuki kutwa kupunga (La ng'ombe)
Singeli mara charanga (Pembe), kimemponza kiranga (La ng'ombe)
Anagombea mgomba (Pembe), na ndizi hajaipanda (La ng'ombe)
Pashwara aso kibanda (Pembe la ng'ombe)
Written by: Khadija Kopa, Lava Lava, Mbosso, Rj The Dj, Romeo Bangula