Lyrics

Naimba mapenzi au sio Yeah Click Master Nilishang'atwa na nyoka Nikiguswa na jani nashtuka Nyuma niliko toka almanusra ya kufa Oh naogopa Wanipa ndege leseni ya guta Sio kwamba nimechoka Nakwenda ila kwa kuvutwa Mwenzako taabani Sio wa kitanda machela Ninusuru honey Isipepee nusu bendera Niponye niponye Niponye roho yangu Fanya nipone nipone Hofu ndo maradhi yangu ah Sema unanipenda sema Sema unanipenda sema Sema unanipenda sema Sema unanipenda sema Saivi silali peke yangu Ninae wa kulala nae Saivi silii peke yangu Ninae wa kulia nae Kupendwa ndio zamu yangu Wenye wivu na mpae Mpenzi ndio jina langu Kuch kuch hota hai Anituliza barafu kwa mahaba VIP Kwake sifui dafu kuchnehi babu ji Niponye niponye Niponye roho yangu Fanya nipone nipone Hofu ndo maradhi yangu ah Sema unanipenda sema Sema unanipenda sema Hofu initoke eh Sema unanipenda sema Nambie milele tuwe wote Sema unanipenda sema Sema unanipenda sema baby Sema unanipenda sema Omg Click senkyu Kamix lizer Mpaka kiitike
Writer(s): Mrisho Lisso Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out