Lyrics
[Verse 1]
Nijifiche wapi?
Jicho lako laniona
Niende wapi
Kuepuka roho wako?
[Verse 2]
Usiku kwako ni kama mchana
Ata giza haliwezi kunificha, ah-ah
[Chorus]
Eh, Mungu nichunguze ujue moyo wangu
Nijaribu uyajuwe mawazo yangu yote
Baba, aah
Baba, aah
[Verse 3]
Nijifiche wapi?
Nilalapo uko nami
Nitawaza nini?
Wafahamu kila kitu
Maharifa yako, kweli, ni ajabu
Ulinijuwa kabla kuzaliwa, ah, eh
[Chorus]
Eh, Mungu nichunguze (Yeah) ujue moyo wangu
Nijaribu uyajue mawazo yangu yote
Baba, aah (Hm-hm)
Baba (Baba) aah (Oh)
[Chorus]
Eh, Mungu nichunguze ujue moyo wangu
Nijaribu uyajue mawazo yangu yote
Baba, aah
Baba, aah
Written by: