Lyrics

[Chorus]
Dunia ni shangwe, Yesu kafufuka
Mauti kashinda, Bwana Yesu yuko hai
Dunia ni shangwe, Yesu kafufuka
Mauti kashindwa, Bwana Yesu yuko hai
[Verse 1]
Juu mtini, ela elai (Ela elai)
Kilio chake kwa ajili yetu mimi nawe
Uchungu mwingi alipitia
Kuteswa kwake kwa ajili yetu mimi nawe
[Chorus]
Dunia ni shangwe, Yesu kafufuka
Mauti kashindwa, Bwana Yesu yuko hai
Dunia ni shangwe, Yesu kafufuka
Mauti kashindwa, Bwana Yesu yuko hai
[Verse 2]
Taji ya miiba alivalishwa
Kuteswa kwake kwa ajili yetu mimi nawe
Ubavu wake kachomwa mkuki
(Aliumizwa) Uchungu wake kwa ajili yetu mimi nawe
[Chorus]
Dunia ni shangwe, Yesu kafufuka
Mauti kashindwa, Bwana Yesu yuko hai
Dunia ni shangwe, Yesu kafufuka
Mauti kashindwa, Bwana Yesu yuko hai
[Verse 3]
Alilazwa kaburini
Kifo chake kwa ajili yetu mimi nawe
Siku ya tatu akafufuka
Ushindi wake kwa ajili yetu mimi nawe
[Chorus]
Dunia ni shangwe, Yesu kafufuka
Mauti kashindwa, Bwana Yesu yuko hai
Dunia ni shangwe, Yesu kafufuka
Mauti kashindwa, Bwana Yesu yuko hai
[Chorus]
Dunia ni shangwe, Yesu kafufuka
Mauti kashindwa, Bwana Yesu yuko hai
Dunia ni shangwe, Yesu kafufuka
Mauti kashindwa, Bwana Yesu yuko hai
[Chorus]
Dunia ni shangwe, Yesu kafufuka
Mauti kashindwa, Bwana Yesu yuko hai
Dunia ni shangwe, Yesu kafufuka
Mauti kashindwa, Bwana Yesu yuko hai
Written by:
instagramSharePathic_arrow_out