Letras

We umenikaa, umenikaa kwa roho nafsi mpaka akili yangu, we dada umenibamba
Darling, alafu tumetokaga mbali, sioni dalili ya kukuumiza ukalia
Alafu darling, (Mwenzako nakupenda kweli), tufike wawili, (Sitaki mwingine kwa safari)
Penzi letu lime-takeover, nimekunywa nina hangover, umegeuka gari umenigonga
Penzi letu lime-takeover, nimekunywa nina hangover, umegeuka gari umenigonga, umenishika kichwa, umeninyonga
Ila kelele lele, bwana kelele lele, ah kelele lele, bwana kelele lele
Ooh kelele lele, (Maneno ya kando-kando) bwana kelele lele, (Hawananga mipango) ah kelele lele, (Yatakwisha baba) bwana kelele lele
Wale walinidhulumu, nikawapa waka wakaiba
Ukaifuta na sumu, ukaijenga na huba
Baba, baba niongezee, nipe vyote nikumbatee
Na mahaba nipe yotee, wale wasinikamate
Penzi letu lime takeover, nimekunywa nina hangover
Umegeuka gari umenigonga
Penzi letu lime takeover, nimekunywa nina hangover, umegeuka gari umenigonga, umenishika kichwa umeninyonga
Ila kelele lele, (Maneno ya kando-kando) bwana kelele lele, (Hawananga mipango) ah kelele lele, (Yatakwisha mama) bwana kelele lele
(Ooh) kelele lele, (Maneno ya kando-kando) bwana kelele lele, (Hawananga mipango) ah kelele lele, (Yatakwisha baba) bwana kelele lele
Maneno ya kando-kando, hayanaga mipango, yatakwisha mama, mama
Written by: SALMIN ISMAIL HOZA
instagramSharePathic_arrow_out