Canciones similares
Créditos
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
MwanaFA
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Maua Sama
Komponist:in
Hamis Mwinjuma
Songwriter:in
Letras
[Verse 1]
Bonge la mtoto bonge la zigo
Naamini sioti coz naipenda hii ndoto
Sitoi boko
Na naamini hayuko soko
[Verse 2]
Ntamvisha pete leo leo
Sio wa mchezo ka kazi ya kwenye video
Ananikaanga roho ananisaga moyo
Sipo sawa akili imevurugwa nayo
Nilikuwa poa tu kabla hatujakutana
Gangster kama mimi hakuna
[Verse 3]
Hana wasiwasi anatembea kama hataki, anajivuuta
Na kila hatua ina nukta
Kiuno cha nyege rangi ya kinugu
Nashangaa maujuzi ya Mungu
Hakuna kovu hakuna sugu
Maswali bila ya majibu
[Verse 4]
(So unafanya nionekane chizi) Hata sielewi nini la kufanya
(Akili hazifanyi ka zimekufa ganzi) Hata sielewi naona nyota mamaa
(Where you coming from?) Hata Sielewi, Sielewi
(Where you coming from?) Hata Sielewi, Sielewi
[Bridge]
Sielewi, Sielewi eeh, eeh
Sielewi, Sielewi eeh, eeh
[Verse 5]
Sielewi lugha nyingine
Macho yamegoma hayaoni kiumbe mwingine
Huyu ntakopa ntaazima ila lazima ninyooshe mji mzima
Acha moyo unibebe unipeleke unapotaka
Ntarudi siku ukitaka
[Verse 6]
I'm all in, I'm fallin'
Maskio yataniziba akiniita darling
Moyo unanienda mbio, naisoma namba
Mwili mlaini utasema aliumbwa kwa pamba
Hana chale hana shanga
[Verse 7]
Mimacho imentoka ile kishamba
Sina hakika ni chiicha au ganja za zamani
Ila ana siifa za kuitwa mwandani
Tuchangie shuka, tuchangie majina
Nimshike mkono niende nae dunia nzima
[Chorus]
(So unafanya nionekane chizi) Hata sielewi nini la kufanya
(Akili hazifanyi ka zimekufa ganzi) Hata sielewi naona nyota mamaa
(Where you coming from?) Hata Sielewi, Sielewi
(Where you coming from?) Hata Sielewi, Sielewi
[Bridge]
Umetokea wapi kwani?
Na umetumwa na nani?
Umekuja na uganga wa wapi?
Nilikuwa sawa kabla sijakutia machoni
[Bridge]
Sielewi, Sielewi eeh, eeh
Sielewi, Sielewi eeh, eeh
[Chorus]
(So unafanya nionekane chizi) Hata sielewi nini la kufanya
(Akili hazifanyi ka zimekufa ganzi) Hata sielewi naona nyota mamaa
(Where you coming from?) Hata Sielewi, Sielewi
(Where you coming from?) Hata Sielewi, Sielewi
[Outro]
Hata Sielewi naona nyota mamaa
Hata Sielewi naona nyota mamaa
Written by: Hamis Mwinjuma, Maua Sama