Créditos

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Nandy
Nandy
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Nandy
Nandy
Songwriter:in
Harmonize
Harmonize
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Cukie Dady
Cukie Dady
Produzent:in

Letras

[Verse 1]
Utadanganya kusema wengine huwawazi
Ukweli ni kwamba wanaume mmeumbwa vichwa wazi
Mpaka nakosa majibuhili penzi lishachanganywa na wivu
Mama kanifunza utulivu, ananinisitiza usikuvu, baby
[Verse 2]
Sa kwanini nisitulie
Mfano unaninyima nini?
Uko radhi we uumie
Furaha nipate mimi
[Verse 3]
Usemi sina, sina, sina
Cha kusema sina tena, sina, usemi sina
Usemi sina, sina, sina
Usemi sina, sina, usemi sina
Cha kusema sina
[Verse 4]
Mapenzi ni maua
Moyoni mwangu yanachanua
Yalishawahi takaga kuniua
Usishangae najishaua
[Verse 5]
Nilipoteza hamu ya kula
Ndo mana kila anachonipa nakula
Iwe papa ama chura
Nakula ndo kisha nakula
[Verse 6]
Sa kwanini nisitulie
Mfano unaninyima nini?
Upo radhi we uuburie
Utamu nipate mimi
[Chorus]
Usemi sina, sina, sina
Cha kusema sina tena,sina, usemi sina
Usemi, sina, sina, sina
Usemi sina, sina, usemi sina
Cha kusema sina
[Outro]
It feels like I'm falling in love for the first time
I never seen love like this before
Nakosa maneno
Written by: Harmonize, Nandy
instagramSharePathic_arrow_out