Vídeo musical

Alikiba x Abdukiba x K2ga x Tommy Flavour - Ndombolo (Official Music Video)
Ver Alikiba x Abdukiba x K2ga x Tommy Flavour - Ndombolo (Official Music Video) en YouTube

Presentada en

Letras

You have cute face, kama mazima unafanana na mimi
Mwenyezi kanibless, nasimama wima, bwana baba ndio mimi
Ngoja kwanza doctor Nesi, moyo wanienda race
Nilingoja miaka miezi, ooh furaha yangu kipenzi ii
Nilijitoa kwa hali
For baby eeh for you
Nipoteze zangu mali
For you baby eeh for you
Nachinja mbuzi asali
For you baby eeh for you
Leo nafuta dosari
For you baby eeh for you
Asante Mungu wangu wee (Iyee-iyee)
Kuniheshimisha (Iyee-iyee) Unamsitiri na mke wangu (Iyee-iyee)
Vidudu mtu leo twawakera (Iyee-iyee) wamekosa la kusema (Iyee-iyee), leo tamba mke wangu (Iyee-iyee)
Najionyesha hadharani, hii furaha iliyo ndani yangu
Leo nimempata pacha, pacha, pacha wa damu yangu
Na sio swala dogo kupata mtoto ni baraka, licha ya tendo kufanywa na wengi na wachache ndo hupata
Ajabu wanatupana povu, marafiki na ndugu waliokuimbia taarabu
Roho-roho zao zimejawa makovu, kutwa kupiga majungu, wamepoteza dhahabu
Nilijitoa kwa hali
For baby eeh for you
Nipoteze zangu mali
For you baby eeh for you
Nachinja mbuzi asali
For you baby eeh for you
Leo nafuta dosari
For you baby eeh for you
Asante Mungu wangu wee (Iyee-iyee)
Kuniheshimisha (Iyee-iyee) Unamsitiri na mke wangu (Iyee-iyee)
Vidudu mtu leo twawakera (Iyee-iyee) wamekosa la kusema (Iyee-iyee), leo tamba mke wangu (Iyee-iyee)
Hivi sasa ninachokithamini
Ni wewe mwana
Nikulee kwa nguzo za dini
Ni wewe mwana
Niko radhi nilale chini
Ni wewe mwana
Ujihisi raha ukiwa na mimi
Ni wewe mwana
Basi kama unavibe, tikisa hata kichwa
Tikisa, tikisa-tikisa, tikisa-tikisa
Mama shangazi tikisa hata kichwa
Tikisa, tikisa-tikisa, tikisa-tikisa
Hata kama una kitambi, tingisha hata tumbo
Tingisha, tingisha-tingisha, tingisha-tingisha
Baba mjomba, tikisa hata kichwa
Tikisa, tikisa-tikisa, tikisa-tikisa
Jamani mawifi
Written by: Abdul Kiba, Ally Kiba, David Maganga, Karim Rashid, Tomath Bishanga
instagramSharePathic_arrow_out