Canciones similares
Créditos
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
D Voice
Künstler:in
Platform
Remix-Techniker:in
Lody Music
Remix-Techniker:in
Barnaba
Remix-Techniker:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Kerwin Amos Swai
Komponist:in
Letras
[Verse 1]
Mapenzi, mapenzi yalimtesa babu
Lakini bado aliweza survive
Labda nikupe habari sasa nimekua
Mambo ya kutesana nayajua
[Refrain]
Hata utoke na danga (Ujanikomoa)
Hata utoke na baba yangu (Ujanikomoa)
Hata utoke na darngote (Ujanikomoa)
Hata ugeuke uwe chawa wake (Ujanikomoa)
[Verse 2]
Yanini kupeana ngebe eti niende kuroga
Ya nini niforce unipende hatujazaliwa pamoja
Mapenzi miba senyenge nkupashe shoga
Hauwezi kupanda embe lije kuota boga
[Chorus]
Kwani kuachana shi ngapi?
Kuachana bei gani?
Kwani kuachana shi ngapi?
Kuachana bei gani
[Chorus]
Kwani kuachana shi ngap wewe?
Kuachwa bei gani
Kwn kuachana shi ngp wewe?
Kuachwa bei gani
[Verse 3]
Mapenzi sio mchezo yanaumiza zaid
Inabidi uwe na pesa ili uya faidi
Ndo maana sishangai ex wangu alinikataa
Wengine walidisapli wanashida njaa
[Verse 4]
Mapenzi-mapenzi huu mchezo utaniua bure
Wala nina suingo usine ukanfanya mi nsukule
Leo yuko kwangu, kasho kwa Juma wangu
Maana siyawezi mapenzi yanaumaa
[Chorus]
Kwani kuachana shi ngapi?
Kuachana bei gani?
Kwani kuachana shi ngapi?
Kuachana bei gani
[Chorus]
Kwani kuachana shi ngap wewe?
Kuachwa bei gani
Kwn kuachana shi ngp wewe?
Kuachwa bei gani
[Verse 5]
Anatumika yuko busy, achana naye
Anadanganya anacheat, temana naye
Maana mapenzi ukaidi
Wenye pesa ndo wanafaidi, ooh
[Verse 6]
Wadada mini skuizi wanapenda pesa
Kama huna watakupelekesha
Ndo maana nachuna naona bora kuvesha
Kama ufundi, kaka peleda vedaa
[Chorus]
Kwani kuachana shi ngapi?
Kuachana bei gani?
Kwani kuachana shi ngapi?
Kuachana bei gani
[Chorus]
Kwani kuachana shi ngap wewe?
Kuachwa bei gani
Kwn kuachana shi ngp wewe?
Kuachwa bei gani
Written by: Kerwin Amos Swai