Top Songs By Diamond Platnumz
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Diamond Platnumz
Stimme und Gesang
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Diamond Platnumz
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Sheddy Clever
Produzent:in
Tuddy Thomas
Produzent:in
Lyrics
(Wasafi)
Sura yake mtaratibu
Mwenye macho ya aibu
Kumsahau najaribu
Ila namkumbuka sana
Umbo lake mahbibu
Kwenye maradhi alionitibu
Siri yangu, ukarimu
Bado namkumbuka sana
Alionifanya silali (eh) jua kali (eh)
Nitafute tukale
Lakini hata hakujali, darling
Akatekwa na wale
Alionifanya silali (eh) jua kali (eh)
Nitafute tukale
Ila wala hakujali
Darling, ah-aah
Nitampata wapi, kama yule?
Niliompendaga sana
Nitampata wapi, kama yule?
Nae anipende sana
Nitampata wapi, kama yule?
Niliompendaga sana
Nitampata wapi, kama yule?
Nae anipende sana
Aii, aii, nyota
Nyota ndio tatizo langu
Aii, nyota
Mpaka nalia pekee yangu
Aii, nyota
Nyota ndio shida yangu
Nyota
Wamenizidi wenzangu
Alidanganywa na wale (wale)
Wenye pesa nyumba ghali (ghali)
Mi kapuku hakunijali (jali)
Akanimbia, hm
Alidanganywa na wale (wale)
Wenye pesa nyumba ghali (ghali)
Mi mnyonge hakunijali (jali)
Akanikimbia
Alonifanya silali (eh) jua kali (eh)
Nitafute tukale
Lakini hata hakujali, darling
Akatekwa na wale (halo)
Alonifanya silali (eh) jua kali (eh)
Nitafute tukale
Ila wala hakujali
Darling, ah-aah
Nitampata wapi? (Oh, wapi?) Kama yule
Niliompendaga sana (nampenda sana)
Nitampata wapi kama yule (oh, sana)
Nae anipende sana
Nitampata wapi, kama yule? (Penda sana)
Niliompendaga sana (nampenda sana)
Nitampata wapi, kama yule? (Oh, sana)
Nae anipende sana
Bado ananijia ndotoni (bado)
Ila nikiamka simwoni (bado)
Bado ananijia nikilala (bado)
Haki ya Mungu sio masihara
Bado ananijia ndotoni (bado)
Ila nikiamka simwoni (bado)
Bado ananijia nikilala (bado)
Haki ya Mungu sio masihara
Yo' touch clever (bado)
Hii ni sauti ya raisi (bado)
Ilomshindaga ibilisi (bado)
Kwa mwanadamu sio rahisi, aha
Na mwambie (bado)
Lazma ujue kutofautisha
Kati ya msalaba na jumuilisha
Kuna X na kuzidisha
Ni cheche (cheche...)
Bado ananijia nkilala
Haki ya Mungu sio masihara
Writer(s): Naseeb Abdul Juma Issack
Lyrics powered by www.musixmatch.com