Music Video

Diamond Platnumz - Mdogo Mdogo (Official Audio Song) - Diamond Singles
Watch Diamond Platnumz - Mdogo Mdogo (Official Audio Song) - Diamond Singles on YouTube

Featured In

Credits

AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Stimme und Gesang
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Songwriter:in
PRODUKTION UND TECHNIK
Teddy Thomas
Teddy Thomas
Produzent:in

Lyrics

Ah, oh, nimetembea-tembea bara na visiwani, ila nikajonea we ndio my number one
Natamani nikupe ila sina, nimejaliwa upendo hashima
Maneno yao matamu (Yasikuibe mama), si unajua binadamu (Wabaya sana)
Wana wivu hao (Hao, hao), wachonganishi hao (Hao, hao)
Wana wivu hao (Hao, hao), wachonganishi hao (Hao, hao)
Usije niacha kwa unyonge nachechemea, ah utamu wa finyango na tonge ukanielemea
Usije niache kwa uyonge nachechemea, ah utamu wa finyango na tonge ukala kwangu
(Aga) Mwendaazimu kaingiaje (Asije kitorondo) mwendaazimu kaingiaje
(Akanikatia na Uhondo) Mwendaazimu kaingiaje (Kitorondo, kitorondo, eh), mwendaazimu kaingiaje
(Ikinasa mpaka uondoe) Mwendaazimu kaingiaje (Oh, kitorondo), mwendaazimu kaingiaje
(Akanikatia na Uhondo) Mwendaazimu kaingiaje (Ikawa nyumba ya shetani), mwendaazimu kaingiaje, ah
Ah, kidogo nikileta mamiti usinune, nikumbatie unikiss nijivune
Kesho nizidishe ufanisi nijitume, tujenge hadi nyumba Paris Wanune
Vimichezo michezo vya Saloon chunga wakipanga, wasije kukufunza vya uhuni ukawa unadanga
Tai, ukaanza safari mchana jua kali, usiku haulali, ayaya
Oh, ukaanza safari (Eh), mchana jua kali (Eh), siku haulali, ayaya
Wana wivu hao (Hao, hao), wachonganishi hao (Hao, hao)
Wana wivu hao (Hao, hao), wachonganishi hao (Hao, hao)
Oh, ukaanza safari (Eh), mchana jua kali (Eh), usiku haulali, ayaya
(Aga) Mwendaazimu kaingiaje (Asije kitorondo) mwendaazimu kaingiaje
(Akanikatia na Uhondo) Mwendaazimu kaingiaje (Kitorondo, kitorondo, eh), mwendaazimu kaingiaje
(Ikinasa mpaka uondoe) Mwendaazimu kaingiaje (Oh, kitorondo), mwendaazimu kaingiaje
(Akanikatia na uhondo) Mwendaazimu kaingiaje (Ikawa nyumba ya shetani), mwendaazimu kaingiaje, aah
Mdogo-mdogo (Tai), mdogo-mdogo (Ah, usijali mama), mdogo-mdogo (We wacha waonge), mdogo-mdogo
(Usiku na mchana) Mdogo-mdogo (Ah, mpaka wayonge), mdogo-mdogo (Na ntakupenda sana), mdogo-mdogo (Mahaba ninyonge), mdogo-mdogo
(Sijali lawama) Mdogo-mdogo (Acha wanizonge), mdogo-mdogo (Oh, kachiri-kachiri), mdogo-mdogo (Kachiri we ngao yangu), mdogo-mdogo
(Mwenzako taabani) Mdogo-mdogo (Nilinde roho yangu), mdogo-mdogo (Wasije wa furani), mdogo-mdogo (Wakaiba tamu yangu)
(Aga) Mwendaazimu kaingiaje, ah, mwendaazimu kaingiaje
Ah, mwendaazimu kaingiaje, oh, mwendaazimu kaingiaje
(Mdogo-mdogo, mdogo-mdogo) Aga mwendaazimu kaingiaje, (Mdogo-mdogo, mdogo-mdogo), ah, mwendaazimu kaingiaje
(Mdogo-mdogo, mdogo-mdogo), ah, mwendaazimu kaingiaje
Written by: Diamond Platnumz
instagramSharePathic_arrow_out