Upcoming Concerts for Diamond Platnumz
Top Songs By Diamond Platnumz
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Diamond Platnumz
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Diamond Platnumz
Songwriter:in
Lyrics
Aaah
Vipi mizigo umeshaweka tayari, mmh aah
Sijechelewa nkaja achwa na gari, mmh aah
Basi jikaze usilie mpenzi, aah
Mi nitarudi niombee kwa Mwenyezi, aah
Zile taabu na njaa
Msimu mzima mavuno hakuna
Huwa nakosa raha
Pale mkikosa cha kutafuna
Roho yangu inauma
Sema ntafanya nini na pesa sina
Nakuonea na huruma
Bora niende mjini kusaka tumaa
Kama mtoto wakinililia (kama)
Waambie kesho nitarejea (nitajerejea mama)
Wadanganye na vibagia (wadanganye)
Waambie pipi ntawaletea (ntawaletea mama)
Kama watoto wakinililia (kama aah)
Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
Nawe usichoke kuvumilia (usichoke)
Na kila siku kuniombea (nirudi salama)
Wanajua kwamba nafsi na roho
Vitakuwa na wasiwasi
Ukumbuke na moyo
Utajawa na simanzi
Ntakapokuwa nakwenda shambani
Afu niko peke yangu honey
Ntapokuja kuwa na majirani
Ntaumia aaah
Pale napotoka kisimani (ahaa)
Ama nipo na kuni kichwani (ahaa)
Sina wakunitua nyumbani ntaliaa
Maneno yako yananfanya nakosa raha na mawazo
Hata mwenzako sijawahi kufika dar huu ndo mwanzo
Pili nakwenda na sijui pa kukaaa wala mavazi ooh
We niombee niepushwe na balaa na maradhi ooh, eeh
Kama watoto wakinililia (kamaa)
Waambie kesho nitarejea (nitajerejea mama)
Wadanganye na vibagia (wadanganye)
Waambie pipi ntawaletea (ntawaletea mama)
Kama watoto wakinililia (kama aah)
Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
Nawe usichoke kuvumilia (usichoke)
Na kila siku kuniombea (nirudi salama)
Unapokwenda kama ukifika salama
Utukumbuke na sisi
Usisahau kama mkeo na wana
Umetuacha na dhiki
Hilo usijali ila naomba chunga sana
Ogopa na marafiki
Wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama
Waambie sidanganyiki
Unapokwenda kama ukifika salama
Utukumbuke na sisi
Kumbuka mkeo nyumbani na wana
Umetuacha na dhiki eeh
Vile usijali ila naomba chunga sana
Ogopa na marafiki
Wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama
Waambie sidanganyiki, eh (eeh)
Eeh, ntarejea mama
Niombee nirudi salama
Ooh watoto wadanganye
Iiih, yeah uuh
Uuh mama aah
Doza ieeh, usijali eeh
Mmmh, kama
Kama mtoto wakinililia (kama)
Waambie kesho nitarejea (nitajerejea mama)
Wadanganye na vibagia (wadanganye)
Waambie pipi ntawaletea (ntawaletea mama)
Kama watoto wakinililia (kama aah)
Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
Nawe usichoke kuvumilia (usichoke)
Na kila siku kuniombea (nirudi salama)
Written by: Diamond Platnumz