Top Songs By Mlimani Park Orchestra
Similar Songs
Credits
AUSFÜHRENDE KÜNSTLER:INNEN
Mlimani Park Orchestra
Künstler:in
KOMPOSITION UND LIEDTEXT
Abdalla Gama
Songwriter:in
Lyrics
Nimeishi na wazazi wangu nikiwa bado mwanafunzi
Sikuwahi kuishi pekee yangu bila kuwa na wazazi wangu
Baada ya kumaliza masomo nilipata kazi
Wazazi wangu walinihusia jinsi ya kuishi na walimwengu

Yakuwa niwe na heshima kwa mkubwa na mdogo
Hayo ndio mafanikio ya maisha yangu ya badae (mm)
Yakuwa niwe na heshima kwa mkubwa na mdogo
Hayo ndio mafanikio ya maisha yangu ya badae
Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote
Ushauri wao umeniletea mafanikio mema
Sasa naishi na watu vizuri, eh
Sasa naishi na watu vizuri, eh-eh
Huku niliko wazazi wangu sina ndugu
Lakini kutokana na husia wenu wazazi wangu
Najiona kama niko nyumbani, eh
Najiona kama niko nyumbani, eh, mama

Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote (wakati wowote)
Ushauri wao umeniletea mafanikio mema (mafanikio mema)
Sasa naishi na watu vizuri, eh (oh, mama, oh)
Sasa naishi na watu vizuri, eh-eh
Written by: Abdalla Gama