Lyrics

I wish you see how prietty I look In this shoes that you bought for me na ma-time natamani ungeona how happy you make me haijalishi kuwa haunioni ninachojali mimi mapenzi yetu Mimi na wewe kitu kimoja sioni haya tukiwa pamoja Mimi na wewe kitu kimoja sioni haya tukiwa pamoja mimi na wewe... I wish you'd see the stars in the sky just to see how amazing they look I wish you'd see me write a song for you alafu cheki wasee wakibambika haijalishi kuwa haunioni ninachojali mimi mapenzi yetu Mimi na wewe kitu kimoja sioni haya tukiwa pamoja Mimi na wewe kitu kimoja sioni haya tukiwa pamoja mimi na wewe... You use your heart to see what most of your sight don't see unaona kila jinsi ya kunifurahisha, wafanya nihisi mapenzi kweli yapatikana mimi na wewe...
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out